Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
haya nitajie hiko kifaa kitakacho chaji umeme Tanesco Then Ukatumia Kuwasha Friji Tv NkHUJUI ULISEMALO
haya nitajie hiko kifaa kitakacho chaji umeme Tanesco Then Ukatumia Kuwasha Friji Tv NkHUJUI ULISEMALO
Unavyozidi kuuliza na kujieleza ndo unazidi kuonekana jinsi usivyojua umeme... au unajuwa kwa kiwango cha chini sanahaya nitajie hiko kifaa kitakacho chaji umeme Tanesco Then Ukatumia Kuwasha Friji Tv Nk
Hiyo Solar Labda Iwe Na Megabyt Za Umeme Ndo Itawasha Friji Lakini Sio Solar Za Volt Na Walt,nimeshatumia Solar Toka MdogoUnavyozidi kuuliza navkujieleza ndo unazidi kuonekana jinsi usivyojua umeme... au unajuwa kwa kiwango cha chini sana
Hivi unajuwa friji in watts ngapi?
unajuwa vifaa vya sola system unaweza ukavitumia kufanya hayo unayodhani hayawezekani..?
Duh.... kipimo cha MEGABYT kwenye umeme....!!!!Hiyo Solar Labda Iwe Na Megabyt Za Umeme Ndo Itawasha Friji Lakini Sio Solar Za Volt Na Walt,nimeshatumia Solar Toka Mdogo
Duh.... kipimo cha MEGABYT kwenye umeme....!!!!Hiyo Solar Labda Iwe Na Megabyt Za Umeme Ndo Itawasha Friji Lakini Sio Solar Za Volt Na Walt,nimeshatumia Solar Toka Mdogo
We jamaa bna una bishana Na Holder wa Beng Kutoka FOE now Coet mtu na Full knowledge ww umekalia assumption tu nakushauri kama hutaki kutulia na kupigiwa pindi ebu vunga tu mana unatia aibu the more unavyo explainHiyo Solar Labda Iwe Na Megabyt Za Umeme Ndo Itawasha Friji Lakini Sio Solar Za Volt Na Walt,nimeshatumia Solar Toka Mdogo
Ikoje ikoje mkuu yani inapokea source mbili as input but inatoa maji as Ac si ndio? sasa reverse ya kucharge battery kwa hio battery inafanyikaje? let say tanesco ndo yuko kwa hewa ina maana betri itaanza kuchaji? je Tanesco akitoka battery anaanza kufeed load? Pana change over kwa ndani na hio switch je user naweza notice kuwa now katoka huyu kaingia huyu?Yes zipo.. zinaitwa INVERTER CHARGER.
Maelezo yako yapo sahihi... unakuwa na inputs mbili, battery na Tanesco, when TANESCO goes out battries will supply the load. When TANESCO comes back, the inverter charger will charge the battries. The circle will.repeatIkoje ikoje mkuu yani inapokea source mbili as input but inatoa maji as Ac si ndio? sasa reverse ya kucharge battery kwa hio battery inafanyikaje? let say tanesco ndo yuko kwa hewa ina maana betri itaanza kuchaji? je Tanesco akitoka battery anaanza kufeed load? Pana change over kwa ndani na hio switch je user naweza notice kuwa now katoka huyu kaingia huyu?
Thanks mkuuMaelezo yako yapo sahihi... unakuwa na inputs mbili, battery na Tanesco, when TANESCO goes out battries will supply the load. When TANESCO comes back, the inverter charger will charge the battries. The circle will.repeat
Sawa mkuu asanteZiko backup original na za kumode ambapo inaungwa na battery size ya battery inategemea mahitaji yako. umeme wa tanesco ukitoka kwenye mita unapitia kwenye hiyo backup kwenda kwenye DB. umeme wa tanesco ukiwepo unatumika direct huku unacharge battery ukikatika inaswitch automatic battery zinaendelea kutumik.. unakuja usijue kama umeme ulikatika.