Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Mmmh.. niliwahi dakwa darini na lita zangu tatu za Ulanzi kutoka Ibigi. Tuliokuwa nao Aggrey miaka hiyo watakuwa wanakumbuka.
nakumbuka nilikuwa mtoro o'level mpaka watu nilikuwa hawanijui ....
Shemeji nimekuta mtu ana avata kama yako you tube katoa comment kwenye video ya mtu katukanaje si nikadhani ni wewe loo
Mmmh.. niliwahi dakwa darini na lita zangu tatu za Ulanzi kutoka Ibigi. Tuliokuwa nao Aggrey miaka hiyo watakuwa wanakumbuka.
Wewe shuleni ulifanyaje?
Shemeji nimekuta mtu ana avata kama yako you tube katoa comment kwenye video ya mtu katukanaje si nikadhani ni wewe loo
shemegi hapana, siwezi kutukana, maadili hayaruhusu....
Wewe ungesoma Itende ulanzi ungekukoma maana wanautengeneza zero distance kutoka madarasani
E bwana Rungwe Sec. tulikuwa tunaufuata kijijini, raha ilikuwa lita moja inauzwa sh.25 basi unaenda na sh.50 lakini kabla ya kununua hizo lita 2 unajikuta umeonja zaidi ya lita 5 kwa watu tofauti. unajikuta umelewa hizo mbili unaenda kuzifungia darini..
E bwana Rungwe Sec. tulikuwa
tunaufuata kijijini, raha ilikuwa lita moja inauzwa sh.25 basi unaenda
na sh.50 lakini kabla ya kununua hizo lita 2 unajikuta umeonja zaidi ya
lita 5 kwa watu tofauti. unajikuta umelewa hizo mbili unaenda kuzifungia
darini..
Jamani,haya ya kweli au ndo mambo ya CC daah! Mpaka mbavu zinaniuma kwa kicheko.
Hivi yale mawe pale Rungwe sec bado yapo? Mlikuwa nmaturushia mkifungwa kwenye match za mpira