hizi pics takes me back when life was still life...Uko vizuri kwa flashbacks [emoji120][emoji120][emoji120]
Past future, in other wordsPast was once the future
when there were no mkuyati wala dawa za nguvu za kiume...When life was simple n meaningful [emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Nafikili maisha ya sasa ndio meaningful ukiacha kasumba ya kusifu ya kale.When life was simple n meaningful [emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Babu inamaana ile lift ndio ishaniacha?Na mbuzi choma. Mzee baba hachelewi kupiga marufuku magari yasiende Kaskazini. Wajanja tushajiwahia zetu bila shuruti