game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,326
- Thread starter
- #21
Sijaona hayo unayoyasema kwenye hiyo video,dikteta mkubwa, alifuta vyama vingi, alitaka fikra za Mwenyekiti wa chama peke yake ndio zidumu, alifunga raia kutumia sheria inaitwa preventive detention act, alianzisha kufungia wasomi waliom question kijijini kwao, akajenga taifa la watu waoga.
Msikilize hapa anajuta na kuomba msamaha kwa kujenga taifa la watu cowards, watu waliotishwa, watu waoga...
But what I know is Hata kiongozi awe mzuri vipi lazima kuna watu watampinga, Imagine US assassinated great Leaders like Abraham Linkolin, na Hata Rais Kennedy. Sembuse Mwalimu ??
Besides, A coin has two sides always, kama huwezi kuona mema hata kwa kiongozi kama Huyu ukajikuta unatafutiza mabaya yake, basi you are the only coward.