Back Into History, Mwl.Nyerere Visit in China.

A reason I miss Mwalimu Nyerere, siku anafariki I was a little Boy hata sikuelewa Kitu,
Apumzike kwa Amani Baba wa Taifa La Tanzania, Mwanaharakati, Mzalendo wa Kweli, Mkweli, Mnyenyekevu, Mcheshi na Mwenyewe Hekima na uelewa mpana.
 
God will bless Africa with Another leader of your Kind, R.I.P JK Nyerere
 
Kinyozi wa nyerere alikuwaga hatareee!
FB_IMG_1516987213978.jpg
 
Huu ni Upuuzi na utoto ila kama ndivyo mnataka hatuwezi wazuia.
Na infact Hamna la kufanya,
But my Intention was to help you realize the Greatness of our African Leaders we had in our History, Especially JK Nyerere..
I guess hata hukuwahi fikiria kama Nyerere was this much Respected even in US and UK?
Umetazama hizo Gearide Uingereza na Uchina?
Take it positive.
 
A reason I miss Mwalimu Nyerere, siku anafariki I was a little Boy hata sikuelewa Kitu,
Apumzike kwa Amani Baba wa Taifa La Tanzania, Mwanaharakati, Mzalendo wa Kweli, Mkweli, Mnyenyekevu, Mcheshi na Mwenyewe Hekima na uelewa mpana.
sifa zote sawa,vlkn sio unyenyekevu.
huyu ilikuwa ni zaidi ya Tunu kwa taifa
 
Na infact Hamna la kufanya,
But my Intention was to help you realize the Greatness of our African Leaders we had in our History, Especially JK Nyerere..
I guess hata hukuwahi fikiria kama Nyerere was this much Respected even in US and UK?
Umetazama hizo Gearide Uingereza na Uchina?
Take it positive.
Ila haisaidii walalahoi wa LDC Tanzagiza.
 
Na infact Hamna la kufanya,
But my Intention was to help you realize the Greatness of our African Leaders we had in our History, Especially JK Nyerere..
I guess hata hukuwahi fikiria kama Nyerere was this much Respected even in US and UK?
Umetazama hizo Gearide Uingereza na Uchina?
Take it positive.

Nakushukuru wa kuweka hizi clips, inasaidia kuonyesha uwezo wa Tanzania kidiplomasia duniani.
 
A reason I miss Mwalimu Nyerere, siku anafariki I was a little Boy hata sikuelewa Kitu,
Apumzike kwa Amani Baba wa Taifa La Tanzania, Mwanaharakati, Mzalendo wa Kweli, Mkweli, Mnyenyekevu, Mcheshi na Mwenyewe Hekima na uelewa mpana.

dikteta mkubwa, alifuta vyama vingi, alitaka fikra za Mwenyekiti wa chama peke yake ndio zidumu, alifunga raia kutumia sheria inaitwa preventive detention act, alianzisha kufungia wasomi waliom question kijijini kwao, akajenga taifa la watu waoga.

Msikilize hapa anajuta na kuomba msamaha kwa kujenga taifa la watu cowards, watu waliotishwa, watu waoga...

Back
Top Bottom