Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi.

Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha.

Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea Malmo baada ya kuwepo huko kwa wiki mbili, na hakika nimepata kilichonipeleka.
Baada ya kurudi gheto nimekuta sio safi sana, ila sio pachafu sana kwa kuwa napenda sana usafi.

Kuna kipindi wengi waliniuliza napoishi huku Leirvik,naishi pa kawaida sana wala hakuna sana maajabu cha msingi uweze tu kupata pesa ya kutosha kutoka kwenye mishe zako na hilo ndio lililonileta.

Ila bado nasisitiza wenzetu wanafanya sana kazi na wanaishi, hili yapaswa kuwa somo kubwa kwetu wabongo.

Kutokana na furaha niliyonayo, naruhusu maswali Ila sio ya kukera, namaanisha ni kama tunapiga story.

View attachment 1840422View attachment 1840423View attachment 1840424View attachment 1840425View attachment 1840426View attachment 1840429View attachment 1840430View attachment 1840433View attachment 1840434View attachment 1840436
unakunya na kulala hapo hapo??
Mavi haayakunukii??

Huoni mateso,,
 
Embu nikuukize iyo nchi nayo ni zile zinazo kumbatia Ushogacracy ? Kama ndiyo nakushauri utoke
 
Kiwango Cha chini kwa siku unaweza kutumia shilingi ngapi ya kitanzania kwenye chakula?
 
Back
Top Bottom