Wooooh... kaka angu mpendwa.. upo habari ya uzima wako????Mekumisss zaid
charminglady huyu lawyer aliniPM akisema kuwa alichotaka kusema ni kuwa .....utakubali kuwa mke wa Arushaone??
I know you missed me.... here Iam, uje kwenye thread yangu kule unichangie ninunue pikipiki
charminglady huyu lawyer aliniPM akisema kuwa alichotaka kusema ni kuwa .....utakubali kuwa mke wa Arushaone??
Hivi hao wake wote ulionao hawakutoshi???
Bishanga unataka charminglady akaguluwe mara ngapi??
Tena na mzee wa misifa Bujibuji???
Kweli nimeanza kukuogopa kama ukoma kwa ukuwadi lol.
Welcome back daughter...glad to see u back in one piece!!!
:A S-heart-2:
Thnx much daddy... mic u alot......... :A S-heart-2:
Habari zenyu binafsi wana Chit Chat..
Kwa mara nyingine nimerudi tena kutoka likizo...
Niliwamiss sana wote wote..
From now nipo kwa saaaaaaaaanaaaa!!!!!!!!!!
Cheer
:humble::humble::humble:
CL
karibu ex