Back from Honeymoon

Hanemuni vipi imeitika? Ushaanza kkutembea na kakopo?
kikopo cha nini sasa Bishanga? siku hizi sayansi na tekinolojia, lol!
kutiki imetiki, wewe hesabu miezi tu uniletee zawadi za mapacha, lol!
 
Last edited by a moderator:
Yaani siku zote izo ulikuwa ubanikumbuka mara moja tu @fp? Wakati kila mara nilikuwa nakuongoza kwen toba?
ha haaaaaaa, ukweli ndo huo rafiki.
toba ulikuwa unaniongoza kabla sijaenda hm, kwa sasa sahau kabisa......no dhambi.....no toba. si unakumbuka kwenye kitubio dhani ilikuwa inajirudiarudia? lol!
 
Nachokitambua wewe tayari ni wangu ila kama una mtu humu sema!mimi natembea na ak47 wasomali wanazo za kumwaga wala sihitaji kukodi!
niambie huyo kaka yangu Erickb52 kesha kula hela ???naona unajiamini sana
 
Last edited by a moderator:
niambie huyo kaka yangu Erickb52 kesha kula hela ???naona unajiamini sana
Awapi aniwezi mimi naendaga infoo kama hivi naanza kukutokea naona turaisishe mambo maana hapa nao tutamwakuku kwenye mchele mwingi!!lol!!Njoo PM tumalize mzizi wa fitna wabaki wamekodoa nina jembe langu gfsonwin kwa msaada wa marekani hakiharibiki kitu!!
 
Last edited by a moderator:

Umesahau kuwa pm naziona??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…