Back from Honeymoon

khaaaa inabidi nichukue course ya utapeli usiku mzima mpaka akinai lol kwiwkiwkwwiwkwiwkwi wewe kaka yangu wewe lol KakaKiiza ni tajiri mbuzi la huko tegeta huko lisije kuja niua mjini hapa bure mie naogopa tae.
Nachokitambua wewe tayari ni wangu ila kama una mtu humu sema!mimi natembea na ak47 wasomali wanazo za kumwaga wala sihitaji kukodi!
 
sawa babu nimeacha :shut-mouth:


Ndo maana wewe ni member wa 1947 club,

Ingekuwa hawa pasua kichwa wa dot com...hiyo marathon ingeendelea hadi majogoo,

Ila, hongera sana kwa kujikumbusha enzi zenu na kurudi salama bila kutengua nyonga!!

Babu DC!!
 


Leo najisikia mbichwa mkubwa kutajwa wa kwanza si mchezo ha ha ha ha
FP mi love you sana and welcome back dear cheers
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana wewe ni member wa 1947 club,

Ingekuwa hawa pasua kichwa wa dot com...hiyo marathon ingeendelea hadi majogoo,

Ila, hongera sana kwa kujikumbusha enzi zenu na kurudi salama bila kutengua nyonga!!

Babu DC!!
ha haaaaaaaaaa, watu wazima inabidi taratibu...... siku hizi si unajua mambo yote India? sasa nyonga zikikatika si itakuwa balaa babu! hata hivyo we had our share, big time, lol!
 
Leo najisikia mbichwa mkubwa kutajwa wa kwanza si mchezo ha ha ha ha
FP mi love you sana and welcome back dear cheers
ha haaaaaaaa, rafiki kila siku unakuwa et al? lol!
ndo ujue kuna wengine wanakukumbuka wa kwanza, lol!
asante kwa ukaribisho rafiki
 
Mi thank you sana bana Honeymoon ilikuwa wapi?? Ujue sina taarifa uzi umekimbia sana hata nimeshindwa kuupitia wote.
ha haaaaaaaa DA bana, uzi umekimbia balaa, yaani kuusoma wote utaweza tu kama unaambiwa utaandika mtihani, lol!
Mi thank you saana pia.
 
ha haaaaaaa, mwl yule...... mtamsuta mwl mtaweza? kumbe bora sikuwepo maana hali yangu naona ingekuwa mbaya mpaka leo.
sasa huyo Nicas Mtei yuko wapi? maana sijamsikia kabisaaaaaa.

Hata sijui yuko wapi. Ila Baba V na unoko wake si alikuwa kambi ya gfsonwin! Tukaanza kumuundia zengwe na yeye asutwe, bahati yake akasamehewa.
 
Last edited by a moderator:
lakini bebii nikwambie.....hatuwezi kuachana.....wewe si unaendaga kwa CUTE mi nanyamaza........hao wanaotaka kutugombanisha watakaa sana........watatuona hivi hivi.......
watamaliza visigino au sio.........preta bhana hua unanifurahisha sana vile unaongea.....i just love reading u everday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…