gwahe
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 147
- 84
Wana MMU,
Jana nilikutana na rafiki yangu baada ya kupotezana muda mrefu.Aliniambia kuhusu bachelor party zinavyofanyika siku hizi. Ukweli macho yalinitoka. Labda mimi bado nipo nyuma ya informtions au na wengine humu bado wapo nyuma ya taarifa hizi pia na kama wapo wanaofahamu leteni stori zaidi.
Story ni hivi:
Mwanaume anafanyiwa bachelor party ya hali ya juu. Waandaaji wanaamini baada ya Party mwanaume hata thubutu tena kuwa na hamu ya kuchepuka au kwenda nje ya ndoa na kutafuta nyumba ndogo. Na wote walioandaliwa Bachlor party ya aina hiyo ndoa zao zimedumu.
Party inaandaliwa kama ifuatavyo:
1) Inatafutwa nyumba nzuri yenye usalama.
2)Watu wanachanga Pesa na mfadhili mkuu ni mhusika ambaye ni bwana harusi mtarajiwa na marafiki zake.
3)Wanatafutwa wasichana wazuri, wengine wakiwemo wazungu ,wasomari na warabu bila kusahau dada zetu warembo wa kitanzania. Hawa wasichana wengi wao ni dada poa wanaojiuza kwa bei ya juu kuanzia shs 300,000 kwa siku.
4)Waandaaji huandaa usafiri,bites, vinywaji vya non stop na muziki mzuri.
5)Siku ya siku, warembo wote na wageni waalikwa huwasili na simu zote na cameras huwekwa chumba maalumu. Ni marufuku kuchukua picha na kuwa na mawasiliano ndani ya Sherehe hiyo.
6)Sherehe inapoanza, mtarajiwa huwekwa mbele kwenye sofa nzuri maalumu. Wadada warembo wanavua nguo zao zote na kubakiza vibikini tu. Kumbuka sifa za warembo zinazingatia vigezo vyote kwa mwanamke kuitwa mrembo.
7)Hapo ndo bachelor party huanza, mtarajiwa huwa na uhuru wa kumvua na kufanya chochote ktk hao warembo ambao idadi yao huwa kati ya 15-20.
Ngoja niishie hapo ila waandaaji wa bachelor party wanaamini, baada ya hiyo sherehe ya kumuaga mwezao. Wanaamini mlegwa atakuwa mwamininifu ndani ya ndoa,kwa sababu papuchi za nje ataziona za kawaida kabisa maana papuchi alizochezea na kuzishika na uzoefu wa kupapasiwa siku ya bachelor party zitkuwa zimempatia uzoefu mkubwa na ukumbusho wa kuwaona warembo kama nature to balance the marriage .