AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,483
Habari!
Naomba kufahamu kozi tajwa hapo juu ni ualimu au ni kitu gani haswa?
Anaweza kufundisha Kiswahil au English kama walimu wengine au haihusiani kabisa na ualimu wa shule?
Kuna ndugu(HKL 1.9) kachaguliwa UDSM inaonekana ana mashaka lengo lake ni kusoma ualimu alipokua akifanya application aliomba Special education, Early childhood education na hiyo hapo juu kwa kusema kujaza magap kama alivyodai yeye na imedondokea hapohapo.
Je ni rahisi kubadili kozi na kusoma hizo zingine alizozitamani zaidi pindi atakapofika chuoni?
Pia unaweza ukapendekeza kozi nzuri zaidi ya hizo.[emoji120][emoji120][emoji120]