bachelor of SCIENCE in mechanical engineering vs bachelor of ENGINEERING in mechanical engineering

mkale

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
1,737
Reaction score
1,987
Wadau ningependa kujua ni ipi hasa tofauti ya izo fani ,kwa anaejua tafadhali anisaidie..
 
Kama umemaliza form six nenda Bsc. Mechanical Engineering lakini kama umemaliza FTC/OD nenda B. Eng. Mechanical Engineering!
 
Wadau ningependa kujua ni ipi hasa tofauti ya izo fani ,kwa anaejua tafadhali anisaidie..

Kwa nini kusiende kwenye hizo Faculty moja kwa moja ukaongee na wahusika watakupa msaada mkubwa zaidi ya utakaopata hapa!
 
ni ipi hasa sababu mkuu ,mi nimemaliza OD
 
nitafanya ivo mkuu
 
BE in mechanical Eng wanadeal na practical nyingi than theory, na kozi hii hutolewa kwenye vyuo kama ATC, DIT na MIST while BSc in mechanical Eng inadeal na theory nyingi kuliko practical
 
asante mkuu ,nimekupata!
 
Back
Top Bottom