Bittah
Senior Member
- Jul 14, 2018
- 135
- 37
Ndugu zangu nimechaguliwa hizo kozi hapo mnanishauri nkasomee kozi ipi ambayo ina upana wa ajira na ata kujiajiri pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hacker mtarajiwa ndo nini broKapige Information technology mkuu. Hacker mtarajiwa[emoji23].
Na ukimaliza waweza fanya kazi sehemu zipiKapige Information technology mkuu. Hacker mtarajiwa[emoji23].
Unachagua IT pia Hacker humjuwa. Una background ata kidogo ya hiyo course??
Hapana bro mm napenda tu kuchezea Computer sana ndo maana nkachaguaUnachagua IT pia Hacker humjuwa. Una background ata kidogo ya hiyo course??
HACKER is an individual who uses computer, networking or other skills to overcome a technical problem. The term hacker may refer to anyone with technical skills, but it often refers to a person who uses his or her abilities to gain unauthorized access to systems or networks in order to commit crimes.Hapana bro mm napenda tu kuchezea Computer sana ndo maana nkachagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kakaHACKER is an individual who uses computer, networking or other skills to overcome a technical problem. The term hacker may refer to anyone with technical skills, but it often refers to a person who uses his or her abilities to gain unauthorized access to systems or networks in order to commit crimes.
Swali sehemu ambazo naweza kufanya kazi nkimaliza broHACKER is an individual who uses computer, networking or other skills to overcome a technical problem. The term hacker may refer to anyone with technical skills, but it often refers to a person who uses his or her abilities to gain unauthorized access to systems or networks in order to commit crimes.
Sehem nyingi tu kama kwenye makampuni ya simu, maofisi karibia ya yote unayoyajuwa ni lazima wawe na mtu wa IT na sehem nyengine.
Nmekuelewa kaka inabdi unisaidie ili nisome nijipange kuja kujiajiri kwanza napenda kujua mtaji wake ukitaka kujiajiri vitu vya muhimu unavyotakiwa kuwa navyo kwenye ofisi yako pia na kazi ambazo utakuwa unazifanyaSehem nyingi tu kama kwenye makampuni ya simu, maofisi karibia ya yote unayoyajuwa ni lazima wawe na mtu wa IT na sehem nyengine.
NOTE: Ajira zake za mbinde ujipange kupambana mwenyeo kujiajiri.
Dah kwa huko siwezi kujuwa zaidi maana mimi sijasoma hiyo. Ila naipenda sana tu.Nmekuelewa kaka inabdi unisaidie ili nisome nijipange kuja kujiajiri kwanza napenda kujua mtaji wake ukitaka kujiajiri vitu vya muhimu unavyotakiwa kuwa navyo kwenye ofisi yako pia na kazi ambazo utakuwa unazifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuDah kwa huko siwezi kujuwa zaidi maana mimi sijasoma hiyo. Ila naipenda sana tu.
Umesoma kombi gani?Ndugu zangu nimechaguliwa hizo kozi hapo mnanishauri nkasomee kozi ipi ambayo ina upana wa ajira na ata kujiajiri pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesha kwambia unishauri kati ya hizo kozi mbili hapo juu nlizochaguliwa ila nlisoma pcb
Bonge la ushauri mkuu, kijana anatakiwa akapambane haswa IT ni tamu ila inahitaji muda na umakini. Dunia ya leo ina mengi yakujifunza kupitia mitandao kuna forums kibao za kujifunza. Bittah MUNGU akutangulie kwenye masomo yako na uweke nia utafanikiwa.Mtu yoyote mi kwa sasa akiniuliza kozi ipi akasome basi IT, Computer Science, software engineering etc hizo ndizo naweza nikakushauri.
Kwa nn? Hizi ni kozi ambazo skills zako ndio mtaji wako kiasi cha kwamba unaweza ukajiajili huku ukiwa umejifungia ndani.
Kivipi? Ulimwengu wa sasa huu wa internet mtu mwenye skills za IT ana uwanda mpana wa kufanya projects za watu kutoka sehemu tofauti kwa mfano web kama freelancer, upwork na fivver kuna projects watu wanapost wakitafuta wataalamu wa kuzifanyia kazi lkn kikubwa "SKILLS".
Hapo sijarejea namna ya kutumia skills zako kwenye youtube, teachable, blogs
Unapoenda huko kama unataka kuwa competent usisome kwa ajili GPA soma ili uwendane na market trends ya tech kwa mfano ukienda huko hutofindishwa jinsi ya kuunda android apps, iphone apps lkn ww mwenyewe unaona matumizi ya smartphones jinsi yalivyo na apps zinaweza kukupatia pesa, hutofundishwa framework za e-commerce kama woocormerce lkn leo manunuzi ya mtandaoni yanaongezeka, hutofundishwa kuhusu SEO (search engine optimization) lkn google.com ndio mtandao unaongoza kwa kutembelewa TZ. Ukiwa chuo utafundishwa html,css,mysql na javascript vitu ambavyo havitoshi kwa sasa.
Kiufupi unatakiwa ujiongeze na uhakikishe kitu unachokisoma unakimaster vizuri kabisa ili uwe na uwezo wa kufanya projects kubwa na nzuri kumbuka huko chuo utachopewa ni basics sana unatakiwa usome vitu vingine vya IT.
Changamoto ambayo issue nyingi za IT Mpaka zianze kukulipa zinachukuwa muda kidogo hivyo nakushauri kipindi utakapokuwa chuo tangu mwaka wa kwanza au wa pili fanya tafiti na utengeneze project ambayo utaendelea nayo hata baada ya kumaliza chuo kwa mfano umemaster vizuri kuhusu graphic designing basi ukamua kuwa unatengeneza animations video na kuziweka youtube huku ukihakikisha baada ya miaka mitatu hiyo channel ya youtube ianze kukutengenezea pesa.
Ngoja niishie hapa kwa leo ila nina mengi.
Nimecheka kweli. Una kibarua kizito.. hata mbuyu ulianza kama mchicha.Hapana bro mm napenda tu kuchezea Computer sana ndo maana nkachagua
Sent using Jamii Forums mobile app