computer science and engineering ya st Joseph CSE ile ni computer engineering CE , UDOM inaitwa CE , DIT inaitwa CO , UDSM inaitwa computer engineering and Information technology kozi hiz zote zinalenga computer science lakini zina base katika computer hardware zaidi kuliko software japokua wanagusa kidogo upande wa software lakini module zao zina base zaidi katika upande wa math physics na electrical , katika computer engineering and Information technology ya UDSM ni double major ina include na information technology but all in all hiz ni engineering degree zinafana, information technology yenyewe ina base katika application ya computer science naposema application namaanisha mwana IT yeye huwa mtumiaji wa product au mtaalamu operator, mfano NASA wanarusha satellite kwenda angani wanaitaji mtaalam mwenye taaruma ya kutumia mitambo ya kisasa hawa ni watu waliosoma IT pia IT ni trouble shooter kama vile kuinstall systems na kufanya configuration kama vile systems kwenye banks , kuinstall na ku backup data ku deal na database management na kutoa. msaada kwa wateja wa kawaida .