Bachelor of science in computer science with software engineering.

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Habari zenu wakuu.
Mdogo wangu kachaguliwa hii kozi udom.Ninaomba kujua field of work kwa mtu mwenye taaluma hii,soko la ajira , pamoja na namna za kujiajiri.

Pili, nimeshanga kuona kwa udom na udsm kozi hii inahitaji applicant awe na principal pass ya maths na phys , lakini chuo kama ruaha catholic university kozi hii inahitaji principal pass kwa masomo yoyote ya sayansi.

Pia, kozi hii udsm na udom ni miaka minne lakini RUCU ni mitatu.Hii imekaaje.

Na mwisho ningependa kujua changamoto kubwa atakazo kutana nazo mwanafunzi wa kozi hii.

Natanguliza shukrani
 
zenye miaka minne ni engineering degree, hiyo ya ruco sio.
 
Hii kozi ipo vizuri na ndo future yenyewe hvo kimsingi asiwe anasoma kwa kufuata mkumbo mana n rahisi kujiari vilevile n ngumu kuajiriwa and Vsvs
 
Kachaguliwa tu? Hana interest nayo?

Yeye anajua nini kuhusu hii course? Ukimuuliza tofauti ya Computer Engineering, Software Engineering, Computer Science na Information Technology anaweza kukuelezea kwa lugha rahisi ukaelewa?

Problem solving skills zake zikoje? Anatumia logic kufikiri ama anaendeshwa na hisia? Anaonyesha intelligence na resilience kwenye namna anavyoapproach issues?

Is he/she naturally curious? Akiona kitu kigeni anatamani akisome akielewe zaidi ufanyaji kazi wake, hata kufikia hatua ya kukigoogle? Au anaspend all online time snapchat?

Command yake kwenye English Language ikoje?

Amesoma Computer A-Level / O-Level? Aliiwezea au ilimshinda?

Ufahamu wake kwenye computer upo kwa kiwango gani? Alishawahi kuandika program yoyote?

Kupitia maswali yangu nadhani unaweza kung'amua kuwa hii sio kozi ya kumtupa tu mtu otherwise atakuwa mediocre all their life.
 
Mshauri pia IT sio mchezo mchezo kama wengi wanavyodhani, ajitahidi apige msuli asimtegemee tu mwalimu, akizubaa miaka minne ataishia kujua 'software installation tu'.
 
nimepitia course za ruco nilichogundua walivyofanya wao ni hiv computer science inaunganisha part IT na part Software development na part research ambapo hapa ndio core part ya kutofautisha na koz nyingine za computer, walichofanya wao wakachukua computer science nakuigawanya mara mbili, moja computer science (informatics system) nyingine computer science (software engineering) binafsi nashangaa kwanin RUCO wamefanya hiv maana computer science yao yenye mabano (information systems) ni sawa na na koz ya UDOM ya IS (Bachelor of Science in information systems) na hiyo nyingine ya computer science yenye mabano (software engineering) hiyo ni sawa na computer science ya kawaida, lakini ukiingia ndani zaidi computer science main goal sio ku develop software bali kufahamu science behind computation wenyew wana base zaidi katika algorithm na research, kozi ya software engineering ya UDOM ni engineering degree hii ni tofauti na hizo zote mbili , pia ni tofauti na computer science ya UDSM na computer science ya UDOM, sababu zenyewe ni theory based , software engineering ya UDOM ni practicaly, mfano rahisi kuna tofauti ya dokta na biologists, kuwa good biologists hakukufanyi kuwa dokta ingawa kuna vitu wanashare , software engineering ni kama daktari ana base kwenye engineering implementation, computer science ni kama biologists ana base kwenye theory, biologists wanagundua uvumbuzi ambao madaktari wanatumia lakini biologists sio daktari, hizo ndio tofauti kubwa kati ya computer science na software engineering , lakini mambo sio always black and white watu hawa wanaweza kufanya kazi sehemu moja katika position moja lakini hio ndio tofauti yao kubwa kwenye paper na kwenye module au syllabus zao zinatofauti lakini hicho hikifanyi mtu kutofahamu cha upande wa pili.
 
Naomba kujua maeneo ya kazi kwa watu wenye proffesion hii
 
Kachaguliwa tu? Hana interest nayo?
Yeye anajua nini kuhusu hii course? Ukimuuliza tofauti ya Computer Engineering, Software Engineering, Computer Science na Information Technology anaweza kukuelezea kwa lugha rahisi ukaelewa?
Problem solving skills zake zikoje? Anatumia logic kufikiri ama anaendeshwa na hisia? Anaonyesha intelligence na resilience kwenye namna anavyoapproach issues?
Is he/she naturally curious? Akiona kitu kigeni anatamani akisome akielewe zaidi ufanyaji kazi wake, hata kufikia hatua ya kukigoogle? Au anaspend all online time snapchat?
Command yake kwenye English Language ikoje?
Amesoma Computer A-Level / O-Level? Aliiwezea au ilimshinda?
Ufahamu wake kwenye computer upo kwa kiwango gani? Alishawahi kuandika program yoyote?
Kupitia maswali yangu nadhani unaweza kung'amua kuwa hii sio kozi ya kumtupa tu mtu otherwise atakuwa mediocre all their life.

Kijana hajawai soma kompyuta kabla, je kuna ugumu wowote atakao kumbana nao
 
Umejibu swali moja tu mkuu katika mengi sana.
Haitoshi kuleta picha kwasababu kwenye hii field kusomea isn't everything
 
Kijana ana level ya wastani katika udadisi.Si mfatiliaji wa maswala ya kompyuta hivyo sidhani kama anaweza kutofautisha term hizo.

Hajawai kusoma kompyuta lakini ana nia ya kujifunza.
Kuhusu lugha ya kiingereza yuko vizuri sana.
 
inawezekana wew ndio ikawa haujui hayo maswali unayouliza lakini kama ni kweli msomaji hajui pia , basi tambua anaenda kupata wakati mgumu sana anapoelekea lakini asijali anaweza kukaza akamaliza je atatoka anaelewa? atatoka anaujuzi au atakua test taker? hizi koz haijalishi unacheti hakuna ajira kwa watu ambao hawajui wanachofanya hakuna ajila kwa test takers , hiz kozi ajira ni wew mwenyew ujuzi wako sio cheti kama kozi nyingine , wanafunzi siku hiz wanatia huruma sana.
 
Naomba kujua changamoto atakazo kutana nazo na namna ya kuzikabiri kwa yeye asiye na ujuzi wa kompyuta
 
Kijana hajawai soma kompyuta kabla, je kuna ugumu wowote atakao kumbana nao
Hajui hata basics za windows? File management, typing & keyboard shortcuts, command prompt, PATH, registry?

If so atapata tabu mno. This course assumes knowledge of the aforementioned.

Usifikirie kuhusu ajira kwa course hii. Ukimaster software dev ajira ziko nyingi and you can make your own business, like myself. Hutolala njaa hapa mjini.

Ila asitegemee ataajiriwa based on cheti. It is very easy to test for competence in software development and he can't bullshit or politick his or her way into a job. Hata connection hazitakusaidia. Only your competence and portfolio will. In fact, many employers hawaangalii degree yako bali portfolio yako.

Instead of asking ataajirika vipi, start wondering whether he or she will be able to build competence.
 
nimepitia course za ruco nilichogundua walivyofanya wao ni hiv computer science inaunganisha part IT na part Software development na part research ambapo hapa ndio core part ya kutofautisha na koz nyingine za computer, walichofanya wao wakachukua computer science nakuigawanya mara mbili, moja computer science (informatics system) nyingine computer science (software engineering) binafsi nashangaa kwanin RUCO wamefanya hiv maana computer science yao yenye mabano (information systems) ni sawa na na koz ya UDOM ya IS (Bachelor of Science in information systems) na hiyo nyingine ya computer science yenye mabano (software engineering) hiyo ni sawa na computer science ya kawaida, lakini ukiingia ndani zaidi computer science main goal sio ku develop software bali kufahamu science behind computation wenyew wana base zaidi katika algorithm na research, kozi ya software engineering ya UDOM ni engineering degree hii ni tofauti na hizo zote mbili , pia ni tofauti na computer science ya UDSM na computer science ya UDOM, sababu zenyewe ni theory based , software engineering ya UDOM ni practicaly, mfano rahisi kuna tofauti ya dokta na biologists, kuwa good biologists hakukufanyi kuwa dokta ingawa kuna vitu wanashare , software engineering ni kama daktari ana base kwenye engineering implementation, computer science ni kama biologists ana base kwenye theory, biologists wanagundua uvumbuzi ambao madaktari wanatumia lakini biologists sio daktari, hizo ndio tofauti kubwa kati ya computer science na software engineering , lakini mambo sio always black and white watu hawa wanaweza kufanya kazi sehemu moja katika position moja lakini hio ndio tofauti yao kubwa kwenye paper na kwenye module au syllabus zao zinatofauti lakini hicho hikifanyi mtu kutofahamu cha upande wa pili.
Uchambuzi mzuri, chambua na ya st Joseph University nasikia ati wana computer science engineering na information systems networking engineering
 
Same case, mdogo wangu nae amepata computer science software engineering (RUCU)
na IT hapo NIT, kwa michango hii nadhani ntapata cha kumshauri wapi pa kwenda.
 
Uchambuzi mzuri, chambua na ya st Joseph University nasikia ati wana computer science engineering na information systems networking engineering
computer science and engineering ya st Joseph CSE ile ni computer engineering CE , UDOM inaitwa CE , DIT inaitwa CO , UDSM inaitwa computer engineering and Information technology kozi hiz zote zinalenga computer science lakini zina base katika computer hardware zaidi kuliko software japokua wanagusa kidogo upande wa software lakini module zao zina base zaidi katika upande wa math physics na electrical , katika computer engineering and Information technology ya UDSM ni double major ina include na information technology but all in all hiz ni engineering degree zinafana, information technology yenyewe ina base katika application ya computer science naposema application namaanisha mwana IT yeye huwa mtumiaji wa product au mtaalamu operator, mfano NASA wanarusha satellite kwenda angani wanaitaji mtaalam mwenye taaruma ya kutumia mitambo ya kisasa hawa ni watu waliosoma IT pia IT ni trouble shooter kama vile kuinstall systems na kufanya configuration kama vile systems kwenye banks , kuinstall na ku backup data ku deal na database management na kutoa. msaada kwa wateja wa kawaida .
 
Back
Top Bottom