Msaada wa hii course inaendana na maendeleo ya jamii?Bachelor of Arts in Community and Development Studies

toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,606
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,606 2,000
Habari wapendwa nimemaliza diploma ya maendeleo ya jamii (Diploma in community development)

Sasa nataka nisome degree ya maendeleo ya jamii kwa hapa dar sidhani kama kuna chuo kinachotoa bachelor degree in community development

Ndo nikakutana na hii course hapo chuo cha ardhi

"Bachelor of Arts in Community and Development Studies"

Jee hii course inaendana na ya maendeleo ya jamii kwa mliosoma?

Vipi ajira ndo hizo hizo za maendeleo ya jamii?

Nauliza hivyo maana naweza kusoma hii course nikamaliza zikatokea nafasi za kazi za diploma nikaomba na ile diploma yangu ya maendeleo ya jamii...sasa ikaja suala la kupanda madaraja kazini sasa nikapeleka hiyo degree yangu ya "Bachelor of Arts in Community and Development Studies" jee itakua sawa?

Nauliza hivi maana nia yangu nataka nisome course inayoendana na hiyo yangu ya diploma ya maendeleo ya jamii...

Au jee kuna course nyingine zinazofanana na za maendeleo ya jamii?kwa hapa dar ni chuo gani?

Maswali yangu ni mengi wakuu...
 
SUKAH

SUKAH

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
532
Points
250
SUKAH

SUKAH

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
532 250
Nenda OUT, wana community economic developoment
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,723
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,723 2,000
Habari wapendwa nimemaliza diploma ya maendeleo ya jamii (Diploma in community development)

Sasa nataka nisome degree ya maendeleo ya jamii kwa hapa dar sidhani kama kuna chuo kinachotoa bachelor degree in community development

Ndo nikakutana na hii course hapo chuo cha ardhi

"Bachelor of Arts in Community and Development Studies"

Jee hii course inaendana na ya maendeleo ya jamii kwa mliosoma?

Vipi ajira ndo hizo hizo za maendeleo ya jamii?

Nauliza hivyo maana naweza kusoma hii course nikamaliza zikatokea nafasi za kazi za diploma nikaomba na ile diploma yangu ya maendeleo ya jamii...sasa ikaja suala la kupanda madaraja kazini sasa nikapeleka hiyo degree yangu ya "Bachelor of Arts in Community and Development Studies" jee itakua sawa?

Nauliza hivi maana nia yangu nataka nisome course inayoendana na hiyo yangu ya diploma ya maendeleo ya jamii...

Au jee kuna course nyingine zinazofanana na za maendeleo ya jamii?kwa hapa dar ni chuo gani?

Maswali yangu ni mengi wakuu...
Kwani hiyo kozi uliyosomea Diploma ndio una uhakika itakupa kazi?
Ingekuwa Mimi ndio wewe ningesoma kitu tofauti kidogo hata social science ili niwe na wigo mpana wa kuomba kazi kuliko kustack kwenye kitu kimoja halaf kazi zenyewe hadi serikali watangaze nafasi za katibu kata/tarafa ni kujichelewesha tu.
 
S

Superleta

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
104
Points
195
S

Superleta

Senior Member
Joined Aug 2, 2019
104 195
Habari wapendwa nimemaliza diploma ya maendeleo ya jamii (Diploma in community development)

Sasa nataka nisome degree ya maendeleo ya jamii kwa hapa dar sidhani kama kuna chuo kinachotoa bachelor degree in community development

Ndo nikakutana na hii course hapo chuo cha ardhi

"Bachelor of Arts in Community and Development Studies"

Jee hii course inaendana na ya maendeleo ya jamii kwa mliosoma?

Vipi ajira ndo hizo hizo za maendeleo ya jamii?

Nauliza hivyo maana naweza kusoma hii course nikamaliza zikatokea nafasi za kazi za diploma nikaomba na ile diploma yangu ya maendeleo ya jamii...sasa ikaja suala la kupanda madaraja kazini sasa nikapeleka hiyo degree yangu ya "Bachelor of Arts in Community and Development Studies" jee itakua sawa?

Nauliza hivi maana nia yangu nataka nisome course inayoendana na hiyo yangu ya diploma ya maendeleo ya jamii...

Au jee kuna course nyingine zinazofanana na za maendeleo ya jamii?kwa hapa dar ni chuo gani?

Maswali yangu ni mengi wakuu...
MASWALI KAMA YANGU WEWE MTU NADHANI ULISOMA CDTI KAMA MIMI
 
Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,426
Top