Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

Nakubali vilaza wa BAF wapo, maana nakumbuka kuna jamaa mmoja alimaliza akapata kazi lakini aliishia kufukuzwa kila alipoenda kufanya kazi mpaka akamua kwenda huko wanakoandika madokezo na vocha tu (serikalini). Uzuri wa BAF ni kuwa wanafundishwa uhasibu uliojaa how? why? what? etc, wakati hao Bcom wao wanfundishwa vitu vichache kiasi kwamba shule ya Mzumbe inakua ngumu kidogo na inajikita kwenye uhasibu wote kwa 100% na hata kama ukienda kusoma nje basi unapeta tu maana vingi ni marudio.

me naamini bcom-accountng anajua mambo mengi kuliko huyo mwana BAF.

jaman vpi hao wa BAcc-bachelor of Accountancy mf ya tumaini nao ipo vpi sokani?

Nakubali vilaza wa BAF wapo, maana nakumbuka kuna jamaa mmoja alimaliza akapata kazi lakini aliishia kufukuzwa kila alipoenda kufanya kazi mpaka akamua kwenda huko wanakoandika madokezo na vocha tu (serikalini). Uzuri wa BAF ni kuwa wanafundishwa uhasibu uliojaa how? why? what? etc, wakati hao Bcom wao wanfundishwa vitu vichache kiasi kwamba shule ya Mzumbe inakua ngumu kidogo na inajikita kwenye uhasibu wote kwa 100% na hata kama ukienda kusoma nje basi unapeta tu maana vingi ni marudio.

hii taarifa imenifurahisha sana mkuu

tupe uelewa wako mkuu kuhusu hili inaonekana una facts zenye msaada mkubwa

we kachukue prospectus ya udsm na ya mzumbe angalia hzo corse contents ya hzo program ndo utajua kwa nin nakumbia bcom-account yuko juu.

poa i will try

Senetor; me naamini bcom-accountng anajua mambo mengi kuliko huyo mwana BAF.

Senetor, unatumia kigezo gani kupima kuwa mtu aliyesoma Bcom-Acc ni bora zaidi ya aliyesoma BAF?. Kwa nini kwenye ACCA huyu wa BAF apate exemptions ya masumo mengi zaidi ya wewe unayesoma Bcom-Accounting. Wanapendelewa labda? Vipi kwnye cut-off points za watu wanaochaguliwa Bcom-accounting na wale wanaoenda BAF? BTW, Sokoni kama umesoma BAF au Bcom-Accounting haikupi added advantage kama huwe kuonyesha uelewa wako na ufanisi wako ambao ndo muhimu kwa mwajiri, hivyo komaa tu umalize shule uje mtaani upambane. Achana na mambo ya kujiona wewe ni bora zaidi ya yule anayesoma IFM au TAA.

asante mkuu,i get your point!

HEY Senetor hayo uliyoyaeleza yana msaada mkubwa kwa wale wote ambao wana wamekalilishwa na hawataki kuumiza akili zao kutafutia maelezo ya kina ya facult zao......kuhusu cut-off point mtu wa BAF yuko juu tena sana sana ya Mzumbe na ya ARU kwa upande wa bcom ya accounting iko chini kiasi cha watu wenye point za kawaida wanachukuliwa kwani admission capacity ya bcom ipo juu sana.

hao wote si wahasibu bali ni wasaidizi wa wahasibu,CPA,ACCA ndio mpango mzima nashangaa mnatunishiana misuli hata accounting package zenyewe pengine hamzijui halafu mnaulizana yupi zaidi,mtu mwenye diploma ya acc tu kama alizingatia na kuweka anachofundishwa katika real sense anaweza kuwa mtaalam zaidi kuliko nyie na digrii za kukariri. na hii ni kwa ajili ya mawazo ya kuajiriwa.

mkuu ingekuwa vizuri kama ungetupa info ya hiyo package japo kwa ufupi

Sifahamu tatizo lakini Wahitmu wa Mzumbe siyo Vilaza unless huyu ni exception case na hiyo BAF yake, otherwise waliosoma ADCA wako juu sana ki uwezo. MUCOBUS ni vilaza wa kupitiliza

mkuu U-great thinker wako ni wa mashaka mno...what a shame kwa msomi kuwa biased kias hiki? Km hujui ukwel kaa kimya..tupe vielelezo kuonyesha ukilaza Wa graduates wa Muccobs..

jaman c ameisha kwambia kafanya nao kazi.

Senetor; me naamini bcom-accountng anajua mambo mengi kuliko huyo mwana BAF.

Senetor, unatumia kigezo gani kupima kuwa mtu aliyesoma Bcom-Acc ni bora zaidi ya aliyesoma BAF?. Kwa nini kwenye ACCA huyu wa BAF apate exemptions ya masumo mengi zaidi ya wewe unayesoma Bcom-Accounting. Wanapendelewa labda? Vipi kwnye cut-off points za watu wanaochaguliwa Bcom-accounting na wale wanaoenda BAF? BTW, Sokoni kama umesoma BAF au Bcom-Accounting haikupi added advantage kama huwe kuonyesha uelewa wako na ufanisi wako ambao ndo muhimu kwa mwajiri, hivyo komaa tu umalize shule uje mtaani upambane. Achana na mambo ya kujiona wewe ni bora zaidi ya yule anayesoma IFM au TAA.

kweli kabisa mkuu mtaa ndio kipimo tosha cha ulichojifunza na jinsi ya kuki apply!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom