Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

G_crisis

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
723
245
Kwa wale wenye ufahamu wa hii kitu kuhusu labour market ipo vipi hapa tz na nje ya nchi tafadhali naomba kujuzwa!!
Natanguliza shukrani!

Update

kwa wale form six leavers karibuni sana msiogope maneno ya mtaani kwamba ni ngumu, ni kukomaa tu nayo tu.

Hao ni wahasibu kama wahasibu wengine!
Ila ukikazia na CPA unakuwa na soko la maana sana mtaani
Kazi zipo nyomi ila too some extent lazima ukazia na mambo ya ugodfather

Hao ni wahasibu kama wahasibu wengine!

Ila ukikazia na CPA unakuwa na soko la maana sana mtaani

Kazi zipo nyomi ila too some extent lazima ukazia na mambo ya ugodfather

shukrani mkuu ila hapo kwenye UGODFATHER umeniacha fafanua kidogo

Hana k2 huyo..hata me wa bcom-accountn naweza kuwa na soko zaid yake.

nimekupata mkuu,ila afadhali wapi sasa unavyoona wewe?

accounting ni accounting 2,hlo jina BAF lckuzuzue...kama ni msoto wote mtaulamba kitaa..2nawaona wengi 2 wanapga hyo baf na wako kitaa,kikubwa we soma mambo mengne ni mbele kwa mbele.

Ofisini kwangu ninaye mmoja. Labda kama ni exception case lakini competence yake katika accounting iko chini ya UDSM na IAA kwa mbali sana

Ofisini kwangu ninaye mmoja. Labda kama ni exception case lakini competence yake katika accounting iko chini ya UDSM na IAA kwa mbali sana
BAF inapatikana Mzumbe na MUCOBUs..
Kwahiyo wanaosoma kwenye hivi vyuo wote ni vilaza?

accounting ni accounting 2,hlo jina BAF lckuzuzue...kama ni msoto wote mtaulamba kitaa..2nawaona wengi 2 wanapga hyo baf na wako kitaa,kikubwa we soma mambo mengne ni mbele kwa mbele.

poa mkuu ngoja nikapambane mbele kwa mbele kitaeleweka huko huko

BAF inapatikana Mzumbe na MUCOBUs..
Kwahiyo wanaosoma kwenye hivi vyuo wote ni vilaza?

Sifahamu tatizo lakini Wahitmu wa Mzumbe siyo Vilaza unless huyu ni exception case na hiyo BAF yake, otherwise waliosoma ADCA wako juu sana ki uwezo. MUCOBUS ni vilaza wa kupitiliza

Nakubali vilaza wa BAF wapo, maana nakumbuka kuna jamaa mmoja alimaliza akapata kazi lakini aliishia kufukuzwa kila alipoenda kufanya kazi mpaka akamua kwenda huko wanakoandika madokezo na vocha tu (serikalini). Uzuri wa BAF ni kuwa wanafundishwa uhasibu uliojaa how? why? what? etc, wakati hao Bcom wao wanfundishwa vitu vichache kiasi kwamba shule ya Mzumbe inakua ngumu kidogo na inajikita kwenye uhasibu wote kwa 100% na hata kama ukienda kusoma nje basi unapeta tu maana vingi ni marudio.

Back
Top Bottom