Bachelor in physics! Je hii course ina ajira?

Bachelor in physics! Je hii course ina ajira?

Kiufupi hii course inatolewaga udom

ACHANA NA HIYO KOZI UTAKUJA KUJUTA ACHA
SIFA NDUGU YANGU....!
 
sorry wana jf naomba kuuliza hii course ya udom ya barchelor in physics ina ajira?
Hakuna kozi utasoma isiyo na ajira, ila ajira zinatofautiana. Kuna ya kuajiriwa na kujiajiri. Hata hiyo ya Physics ukimaliza waalimu wa somo hilo wanahitajika sana.
 
Toa kwanza mwiba wa ta.ko ukae kisha ndio utow mwiba wa mguu. Kwa soma umalize ukiwa na gpa nzuri halafu ndio utajua ya kazi. Kwa sasa hamna kozi in garantii ta kazi
 
Si kweli. Hiyo kozi siyo ualimu labda mpaka usome tena post graduate. Ni kupotea njia kusoma hizo kozi
 
Toa kwanza mwiba wa ta.ko ukae kisha ndio utow mwiba wa mguu. Kwa soma umalize ukiwa na gpa nzuri halafu ndio utajua ya kazi. Kwa sasa hamna kozi in garantii ta kazi
Nimecheka kwa sauti kubwa sana mkuu Hahahahaha
 
Binafsi sina jibu la moja kwa moja ila jina la hiyo kozi limewekwa katika muundo wa kufanana na ishu ya rafiki yangu mmoja, yeyealisoma udom kozi inaitwa bachelor in english, walipofika kuripoti chuo wakauliza watakua na post gani baada ya kumaliza wakajibiwa wataweza kua walimu au wakalimani, alipomaliza ndio akaona kumbe hii kozi haina options walizotajiwa na hata ajira ikawa utata.

Ameamua kusoma postgraduate ya ualimu ili kukabiliana na tatizo. Nakushauri tafuta prospectus ya chuo ili uangalie wanatoa hiyo kozi wakilenga huyu mhusika aje kua nani.
Mkuu,,,akisoma kwenye hiyo prospectus ndio atapambwa zaidi maana huwa wanaandika vizuri sana mle,,,,kikubwa aangalie yeye anapenda nini na anataka kuwa nani maana kama ajira ya direct, hata walimu tunaona ni mwezi wa 5 sasa wamekua kama vifaranga vya kuku kwa kudanganywa kuwa watanyonya kesho
 
YAN KAMA UNATAKA KUKOMA WEW SOMA HYO COARSE MIM NIPO UDOM 2ND YEAR HYO Bsc physics kwa maelezo zaid nitafute 0768329999 nikupe ma info ila ckushaur kuisoma hata kidogo
Wenye moyo wako ni wachache sana,,,mwingine angesema njoo tu hiyo ni kozi nzuri,,,,ubarikiwe sana mkuu
 
Achana nayo utakuja sota sana Ajira hapo baadaee.
Imetageti Education tuu na haina option nyingine yeyote hivyo be care kijana unless upobteyar kuwa Mwalim hivyo badilisha hilo li KOZI then chagua nyingine.
There is no Probability in life..
 
Sorry wana JF naomba kuuliza hii course ya UDOM ya barchelor in physics ina ajira?

If you are a top student in physics, by all means study it. its one of the best science BSc course you would ever take. However if you are a so-so student stay away. Physics tends to reward only the best minds, it has no room for average ones as you may find in other courses. And this is because, it usually needs to be supplemented by grad school, after which your options are endless.
As for employment think beyond Tanzania, you can easily get admitted overseas for grad studies if you have BSc in Physics where you can instantly see the impact of studying physics.
some of the places you would find top physicists are in investment banks( computational analysis is an important skill physicist acquire when studying quantitative mechanical physics etc). you will also get jobs related to modeling and complex analysis, these jobs are all over the place in investment,banking,finance and many industries that needs the study of trends.

BUT. you need a sharp mind.an A or B in advanced physics should be minimum level if you really want to be a top physicist
 
Yaan,, kiuhalisia nw days izo coz ambazo sio specific yaan ni bchr of somethng ,,, hazina dl kabsa maana saiz maaeneo yote yanahitaji watu wenye profnal specific za eneo huskaa,,,, ,,,,,
 
km umefaulu chemistry,, soma bsc.chemistry( iko udsm & udom) ina wide application sn,,
1.viwandan( TBL,, COCA,,N.K)
2.TBS,,TFDA,,TPDC N.K
3.maabara ya mkemia.
4.maabara za maji( water quality lab)
5.water urban supply.
6.viwanda vya sukari( kagera & mtibwa sugar)
7.migodini
8.taasis za utafiti wa madini na udongo.
9.MSD( Phamaceutical industries,, hasa ukisoma masters ya medicinal chemistry & phamacology) &&& so on..
 
Lecturer: i wonder who are u going to be after graduation!!!

Students: Physicist

Lecturer: No, i mean engineers or teachers. No physicist vacacy announced since independent, so probably none.

In 2 Minutes, the class was empty.
 
Back
Top Bottom