Jaribu kuangalia uandishi "barchelor"... Soko la ajira linataka watu ambao wako tayari kwenda extra mile na sio kuwa na basics ya knowledge unayoipata kwenye institution
haina direct lazima usotesawa mkuu kwahiyo haina ajira ya directly?
Si usome education tuu? Okay nenda google Andika bachelor of physics carrier halaf fanya upembuzi uje tenasawa mkuu kwahiyo haina ajira ya directly?
Ipo hivi; Ukisoma Bsc. Physics utasoma physics in general na hesabu zote zinazohusu physics. Ajira unaweza pata sehemu yoyote ambapo physics ni applicable. Kwa mfano viwandani ambako mtu wa physics ni mzuri sana kwenye physical measurements kuliko engineer. Lakini hapa kwetu huwezi pata ajira kiwandani bila specialization. Kungekuwa na Physics laboratories kubwa ambako wanafizikia wanafanya tafiti mbalimbali basi hapo ingekuwa ni mahali pako lakini hatuna sehemu kama hizo.
Ukienda UDOM utakuwa katika college ya Natural and Mathematical sciences. Hapo nasikia wanaandaa mpango maalum wa kuwafanya kuwa waalimu wale waliosoma Bsc. Physics, Mathematics na the like.
Ushauri wangu kwako ni bora uombe ualimu moja kwa moja wa Masomo ya science na utapata mkopo 100% kuliko kusoma Bsc. Physics kwa mkopo wa 80% halafu tena baadaye uhangaike kujisomesha postgraduate.
Huu ni ushauri wa mtu ambaye ni mdau wa Bsc. Physics.
Ajira IPO tena nzuri tu, ila ni chache!sorry wana jf naomba kuuliza hii course ya udom ya barchelor in physics ina ajira?
Sidhani kama una uhakika na ulichokisema hapo juu! Mionzi hospitalini mtu wa Bsc. Physics na aliyesoma radiology afanye nini?Ajira IPO tena nzuri tu, ila ni chache!
Ajira ni kwenye maeneo yafuatayo:
1. Tume ya mionzi
2. Kitengo cha mionzi kwenye hospitali za kansa
3.Viwandani kama technicians nk
Mtu wa mionzi hospital ni kwa RadiologistAjira IPO tena nzuri tu, ila ni chache!
Ajira ni kwenye maeneo yafuatayo:
1. Tume ya mionzi
2. Kitengo cha mionzi kwenye hospitali za kansa
3.Viwandani kama technicians nk