Bachelor application while studying bachelor

Joined
Sep 7, 2013
Posts
28
Reaction score
43
habari wana jamii forum. naomba kuuliza kwa anaejua vzr anieleweshe, mm nasoma bachelor OUT(open university of Tanzania) ila nataka mwishoni mwa mwaka huu niombe kwenda kuanza bachelor Mzumbe ili nipate Admission letter ambayo ntaitumia kuomba ruhusa kazini ili nikaendelee kusoma Bachelor yangu ya open kwa uhuru zaid nikiwa mtaani. JE HILI SWALA LINAWEZEKANA??!

I'm very serious about this so please help me with serious answers
 
Ngoja waje kukupa muongozo..mana mimi bado sijakuelewa kabisa..ebu fafanua vizuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hujaeleweka.
 
Ngoja waje kukupa muongozo..mana mimi bado sijakuelewa kabisa..ebu fafanua vizuri.

#MaendeleoHayanaChama
Yaan nataka nisome OPEN wakat nafanya business zangu nikiwa Dar, ila mda huo kazini wajue niko campus, mmenielewa hapo???
 
Hapa nimekupata vyema.

Kwanini usiombe likizo ya masomo..mana open wana both online na full time.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo hauyoboi mkuu msana application za chuo kikuu zinaratibiwa na TCU hivyo ukiomba mara mbili watajua tu
 
Yaan nataka nisome OPEN wakat nafanya business zangu nikiwa Dar, ila mda huo kazini wajue niko campus, mmenielewa hapo???
Kwanini unataka kudanganya? Je siku wakijua uko OPEN na sio campus itakuaje? Nasema hivyo maana njia ya mwongo ni fupi.
 
Back
Top Bottom