Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,150 Jul 23, 2020 #2 Sijui kwanini nimemfikiria huyu wa kwetu akifanya afanyayo obama anakuaje.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,143 Jul 23, 2020 #3 yna2 said: Sijui kwanini nimemfikiria huyu wa kwetu akifanya afanyayo obama anakuaje. Click to expand... Fresh tu mkuu.
yna2 said: Sijui kwanini nimemfikiria huyu wa kwetu akifanya afanyayo obama anakuaje. Click to expand... Fresh tu mkuu.
BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,777 Reaction score 6,268 Jul 23, 2020 #4 Picha ya pili Toka mwisho,ukiona mtoto mpaka kalala begani kwako Kama Obama hapo,ujue kakukubali Sana .
Picha ya pili Toka mwisho,ukiona mtoto mpaka kalala begani kwako Kama Obama hapo,ujue kakukubali Sana .
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,452 Jul 23, 2020 #5 yna2 said: Sijui kwanini nimemfikiria huyu wa kwetu akifanya afanyayo obama anakuaje. Click to expand... Tatizo hammjui JPM ni mtu fresh wa utani mwingi ingawa hataki uchezee kazi yake. Huwa hana aibu kukupasulia hapo hapo .
yna2 said: Sijui kwanini nimemfikiria huyu wa kwetu akifanya afanyayo obama anakuaje. Click to expand... Tatizo hammjui JPM ni mtu fresh wa utani mwingi ingawa hataki uchezee kazi yake. Huwa hana aibu kukupasulia hapo hapo .
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,282 Reaction score 13,453 Jul 23, 2020 #6 kolola said: Tatizo hammjui JPM ni mtu fresh wa utani mwingi ingawa hataki uchezee kazi yake. Huwa hana aibu kukupasulia hapo hapo . Click to expand... Kumwelewa raia Wa Tanzania inahitaji uombe kipaje cha pekee toka kwa Mungu,
kolola said: Tatizo hammjui JPM ni mtu fresh wa utani mwingi ingawa hataki uchezee kazi yake. Huwa hana aibu kukupasulia hapo hapo . Click to expand... Kumwelewa raia Wa Tanzania inahitaji uombe kipaje cha pekee toka kwa Mungu,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 121,328 Reaction score 199,531 Jul 28, 2020 #7 Mzee Obama huyoooh