"Baby Utakula kwanza ndo Ule au Unakula alafu ndo Ule"

"Baby Utakula kwanza ndo Ule au Unakula alafu ndo Ule"

Ndo huyu? ''mimi na ule kwanza ndo nile'' mkuu zalisha sana hapo akijifanya kuondoka aache team ya kutosha, tuone
 
Hata collins morgan alianza hivi hivi kama unavoanza ww, ila baadae kilichomkuta..ww mtoa mdada tukupe tu muda, utakuja na thread ingine hapa ya kulaani ndoa

Wewe ni mchochezi! Mkojo wako unahitajika mahala 😂😂
 
Mboga inapika ugali[emoji1][emoji1][emoji1]
Wakuu salam,

Kuoa kuna raha sana, though sometimes kuna ups and downs, vijana tuoe

Nimetoka zangu kupiga mishe mishe kitaa ili nipate chapaa ya kumnunulia wife nguo ya skukuu na chenji aende akasukie, ili asije akaachwa nyuma na sikukuu zijazo, maana maisha ni haya haya

Kama mnavyojua kipindi hiki wadada wamekua romantic sana,

Ile nafika gheto tu, baby mama akanirukia juu kama kile kichwa cha Ronaldo na kuniambia " baby utaanza kula kwanza ndo ule ama ule alafu utakula baadae"

Bado sijamjibu, nipo nasolve kwa kutumia scientific calculator yangu ili kuhakikisha napata jibu sahihi.


View attachment 1300142

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment yako inanipa mawazo yenye ukakasi ujue, mm ni dume la mende, sasa unaponiambia mkojo wangu unahitajika mahala... Shauri yako, mm nakulaga tigo za wadada binti kiziwi

Ohhh badilisha maandishi tafadhali, mi nilitania tu unless umeshindwa kurelate na utani. Kila la heri kwenye ulaji wa tigo zao, Surely ain’t one!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom