KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Simu tunanunua, we papuchi unanunua wapi?Mi mwenyewe am wandaz...wanaume wanaojitambua hawalalamiki vitu vidogo kama hivi. Kama huna uwezo wa kumpa mwambie sina. Kama unao uwezo why usimpe? Tuhudumieni...hilo ndo jukumu lenu. Na kama huwezi kugaramia usijisumbue kutongoza. Kama nakupa mpapuchi muda wowote unaotaka why ukiombwa hela unalalamika? Acheni hizo banaa...ni jukumu lenu hata mkikataa. Ndo hivyo yaani haiwezi kubadilika.
Nasikilizia matusi sasa....kutoka kwa wavulana!
Simu tunanunua, we papuchi unanunua wapi?
Kwan we ni yatima?!
Basi shaka ondoa, ujumbe ushafika kwa RRONDO. Hujasema unataka simu aina gani? Unijibu haraka kabla huyo kaka jirani hajachukua simu yake
Ajabu loh!!!!!!!!!!! kwanza mimi wananishangaza hata wanaume wanaopenda kupiga sim, kutuma msg kwa wanawake wakati hawajui sim mwanamke alinunuliwa na nani????
unataka ujibiwe msg wakati hujui bint vocha kawekewa na nani
Unataka kumpigia sim nunua yako mpe.
Hata kwny tongozo lazima uombwe ili mtu ajue unaenda kwake km asset or liability.. Ndo mambo mjini yanavyoenda ss hv.. Huyo wa kukaa kimya haombi mpk umfikirie labda bush sio town na akiwa town ni independent woman otherwise you have to provide.
Kama sina kwanini nisiombe mapema mana hata nyie madushe yenu hayatuii siku hizi siku ya kwanza tu unataka papuchi acha na mie niombe mapema hata ukipiga ukisepa no regrets coz hii ni aluu baba haina makombo nikiosha mpyaaa
ipo moja tu kwa ajili yako.mmmmh!zipo ngapi sasa
Baby simu yangu imedondoka kwenye maji!
Ninunue ya nini wakati ninayo!!
Yatima hao wanaotaka kutumia sim na vocha zilizonunuliwa na wanaume wenzao.
Huwa si date ombaomba....tena ombaomba wa simu na vocha na takataka nyingine ndogondogo ndio nina allergy nao kabisa.....siku mbili nyingi nishapaliwa!!!
Wakati una muaproach simu ilikua nzima kabisa.
Lakini baada tu ya kuanza mahusiano; ghafla simu inaharibika.
Hivi kwanini kina dada simu zenu zinaharibika baada ya kupata wapenzi wapya?
Wakati una muaproach simu ilikua nzima kabisa.
Lakini baada tu ya kuanza mahusiano; ghafla simu inaharibika.
Hivi kwanini kina dada simu zenu zinaharibika baada ya kupata wapenzi wapya?
Na yenyewe mpya au used?!
Tukiachana utarudisha au ??
Kiendacho kwa mganga hakirudi" unakumbuka kamsemo haka???????