Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,439
- 3,952
Iyo kazi ngumu sana, akimaliza hapo akilipwa sana ni sh 15,000. ila siwalaumu wanaume wengi hawasemi kazi wanazozifanya kwa mademu waoKwa hiyo kazi laki ya kuhonga atoe wapi
Hapo sasa, hata sie tunapoomba huwa tunaangalia na mtuIyo kazi ngumu sana, akimaliza hapo akilipwa sana ni sh 15,000. ila siwalaumu wanaume wengi hawasemi kazi wanazozifanya kwa mademu wao
Kama mwanaume ni msiri hakwambii kazi anayoifanya unafanyajae si unaomba tu hela maana anajileta na majigambo yake kuwa oh nina pesaMungu anatuona
kwani kakwambia kazi anayoifanya si majigambo yake, ulimwambia huniwezi matumizi yangu makubwa yeye kakwambia ntaweza hakuna kinachoshindikana chini ya jua unafanyaje si unaomba tuHapo sasa, hata sie tunapoomba huwa tunaangalia na mtu
si kweli huo mkwala ndio maana utaona hawajiAnaetaka laki aende saloon anambie sasa hivi
Mimi hapaAnaetaka laki aende saloon anambie sasa hivi
uko tayari kutoa namba ya mpesa yenye majina yako na mkutane ili akupeMimi hapa
Hapo ndo mnapokwama sasa! Unaongea uongo ili iwejee! Mtu anapenda uongo wako na sio wewe!Kama mwanaume ni msiri hakwambii kazi anayoifanya unafanyajae si unaomba tu hela maana anajileta na majigambo yake kuwa oh nina pesa
Aisee kumbe muombwe tu hakuna namnakwani kakwambia kazi anayoifanya si majigambo yake, ulimwambia huniwezi matumizi yangu makubwa yeye kakwambia ntaweza hakuna kinachoshindikana chini ya jua unafanyaje si unaomba tu
Kwani njia ni hiyo tuuko tayari kutoa namba ya mpesa yenye majina yako na mkutane ili akupe
kwani hapo kutwa unapata sh ngapi kwa kazi hiyo na upate laki ya kumpa mwanamkeBAHATI nzr huongi nguvu unahonga hela, kwa hiyo minguvu inakuwepo hasara iko wapi hapo!!?