Baby I do

khaa zitakuwa zile kupima, tumieni hela iwazoee jamani lol

Ningeji spray mwenyewe ningevimba mpaka mwili. Am so sensitive, ricky knows! Ni mtu aliipaka.. Btw kaby ujue ricky ni gentleman sana.. Nsiongee sana usije kumsumbua uporoto na ye aige bure!
 
Kweli Amy wangu...hata Kaby akijua niko juu ataanza kunisumbua ili akupindue...mwambie SIDANGANYIKI
 
hehe bahati nzuri bwana'ngu sio muigaji kila siku ana mambo mapya,,.
 
Kweli Amy wangu...hata Kaby akijua niko juu ataanza kunisumbua ili akupindue...mwambie SIDANGANYIKI

chaaaa,ricky bwana!labda unanifanisha halafu unadanganyika!hapo amy anakudanganya wewe secondhand tu.
 
Km ana jeuri aige hii pafum muone sheshe lake...teh mtapiga chafya hadi mshangae

ameniletea pafyum dola 1200 kutoka france, najua una huzuni hapo unawaza angekupa ungekula na familia yako kwa miezi sita
 
chaaaa,ricky bwana!labda unanifanisha halafu unadanganyika!hapo amy anakudanganya wewe secondhand tu.

Teh hivi hujajua kuwa second hand ni imara zaidi kuliko vipya?
Mbona Uporoto ni Second hand???
lol
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…