Baby, can you try to be romantic?

Watu wengine mnajaza server za jamii, kwa upuuzi wa kitoto.
 
Auna maneno matamu uwezi kumu handle mpenzi wako aujui kubembeleza yani hahaha ni shida umenikumbusha mbali sana dah....
 
Wanaume wa East Africa kupika wengi hawajui. Kumpikia mwanamke chakula ni romantic gesture
Kusafisha nyumba na kubadilisha shuka kitandani ni gesture nyingine.
Kama hayo huyawwezi mbebee handbag
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…