Baby can i hold u tonight....


Hi BAK i love the song ila hapo ulipo bold maneno mazito hayoo, hope uliyemlenga the dedication sasa hivi anajirembulia macho tuu na tabasamu la haja.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Now thats a raw deal Mkunde Original....why me?

By Kaizer
Do not lead me into temptation.....
if u found that u r tempted you just touch it then u'll automatically hold it.

u said earlier that, u should not be led into a temptation.............its not a deal it was just my concern in case u are tempted by ur baby..............
 
Ha ha ha ha ha, jamani

Mwaka huu sipumui

ahahahahhaha unaanzaje kupumua sasa!
wakati zombie kakaba mutima af huna pa kuanzia aache kukaba
ehehehhehhe
UTAJIBEBA!\
mpka ukuliwe utakoma sana mwaka huu
 
ahahahahhaha unaanzaje kupumua sasa!
wakati zombie kakaba mutima af huna pa kuanzia aache kukaba
ehehehhehhe
UTAJIBEBA!\
mpka ukuliwe utakoma sana mwaka huu

Duru zetu zaonesha kuwa tayari Kongosho kakuliwa.. Zombie hoyeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Duru zetu zaonesha kuwa tayari Kongosho kakuliwa.. Zombie hoyeeeeeeee

angekuwa amekuliwa ingekuwa asavali!
ana hangaikaje hapa!
waliokuliwa huwa hawana hiz wenge!
siku atakayokuliwa mi ntakwambia tu shem kuwa enheee Kongosho amekuliwa
 
Last edited by a moderator:
angekuwa amekuliwa ingekuwa asavali!
ana hangaikaje hapa!
waliokuliwa huwa hawana hiz wenge!
siku atakayokuliwa mi ntakwambia tu shem kuwa enheee Kongosho amekuliwa

hahahahaha. Nakuaminia wewe shemej yangu.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana hapa ulimwenguni bado kuna viumbe wazembe namna hyo? Anataka aegeshewe laivu laivu?

yani zombie is playing hard to get
imagine anaenda mpka kusimamia site ya konnie af hajamkula!
mi ananiuziiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…