Baby can i hold u tonight....

Baby can i hold u tonight....

yaani umekumbusha mbali enzi hizo mitaa ya karibu na kwao ulipigwa jamani mwimbo huu, basi na miaka hiyo ya uboyfi na ugirlie mmhhh kumekucha. duh sauti ya Tracy Chapman pia ndio usiseme...

sipati picha mtu anapohold mrembo kama hiyo avarar yako, raha tupu
 
ayaaaaa nimechelewa,naona muda wa hii kitu umepita,ningejua mida ya hii sredi nisingelala.single ladies mngeni pm tu
 
hahahahaaa pole jamani u can hate me and love me again
ni mapenz ndo yameleta yote haya we mu hold yu wa kwako hapo mie sa izi ndo namalizia morning glory na ivi leo hamna kwenda kazini basi raha tupu. Nashukuru baby aliitika wito akaja toka holdiana hadi asubuhi mmmhhhh..................
nimeitwa huko wacha niitike ............ abeeeeee baby.............am coming......
bye snowhite
SAFEEEEY!
GO GIRL!GOOOO ! Kongosho lazima anune kwa haya maspeed unayoenda nayo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hilo la kwenye mabano ya makisi kisi hilo ndilo mimi na wezangu wa #team zombie tunakomaa nalo kweli toka mwaka huu uanze
ingia basi kwenye team yetu
tupo mimi watu8, King'asti, BADILI TABIA, Nicas Mtei , Kaizer na ehehehhehe Kongosho mwenywe!
si haba tupo hatua nzuri so kazi haitakuwa kubwa sana

not bad, ila mnafanya kazi gani? ya kuhold baby au kuna ingine? Mkiwa as a team mnakuwa na each others baby? na aim au motto wa team ni upi?
 
kazi kubwa ya team ni kuhakikisha Kongosho anaanguswa au anajiangusa!
MOTTO wa team ni OPERESHENI TETEA ZOMBIE AMKULE KONGOSHO!

ok will try my level best sasa zombie mwenyewe ndo nani ili nikimuona nimlengeshe kwa kongosho akiwa in a need ya ku holdiwa as in a month a woman huwa anapata hamu ya kuwa holded na hot baby.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom