Baby can i hold u tonight....

yaani umekumbusha mbali enzi hizo mitaa ya karibu na kwao ulipigwa jamani mwimbo huu, basi na miaka hiyo ya uboyfi na ugirlie mmhhh kumekucha. duh sauti ya Tracy Chapman pia ndio usiseme...

sipati picha mtu anapohold mrembo kama hiyo avarar yako, raha tupu
 
ayaaaaa nimechelewa,naona muda wa hii kitu umepita,ningejua mida ya hii sredi nisingelala.single ladies mngeni pm tu
 
Lovely nzuri sana. Napenda aimbe kwenye sikio langu ukiwa umenikumbatia mpenzi wangu .... nakupenda mwaaaaaaaaa!

Yaani hapo ndo uchawi wangu ulipo, baby akigusa hapo basi kamaliza kilakitu loooh
 
SAFEEEEY!
GO GIRL!GOOOO ! Kongosho lazima anune kwa haya maspeed unayoenda nayo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

not bad, ila mnafanya kazi gani? ya kuhold baby au kuna ingine? Mkiwa as a team mnakuwa na each others baby? na aim au motto wa team ni upi?
 
kazi kubwa ya team ni kuhakikisha Kongosho anaanguswa au anajiangusa!
MOTTO wa team ni OPERESHENI TETEA ZOMBIE AMKULE KONGOSHO!

ok will try my level best sasa zombie mwenyewe ndo nani ili nikimuona nimlengeshe kwa kongosho akiwa in a need ya ku holdiwa as in a month a woman huwa anapata hamu ya kuwa holded na hot baby.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…