umenikumbusha enzi za fuko na ngawa na vilochindi na makoru na nduu na sowe na mafido na pichini na nuka na kiumbo na visoia na masale na mawiri n.k n.k
hahaha,bila shaka nyinyi ni wachaga wa oldmoshi,hahaha karibuni MjohoroniHahah...njilaichiny...kumbe nyi isembo eeh!??
but u know what they said, "It takes a fool to know a fool" hahahaha...juskidding
Unatoka mjohoroni,then kwa Mbwaruki,unakuja kitu cha Mambo bado ,unajitia Sha-tourz,Hivi stop and shop bado wanachoma nyama aisee? Unyonya ukunyonze ndio balaaa,Ila mimi nadhani Meeting Point pako poa zaidi bwana,,,hahahahahaha,Mentor umenirudisha home kabisa yaniHaha..umejuaje mkuu!?? basi tukutane onyonya..ama mjohoroni iko karibu na Stop n shop zaidi!??lol
Hapo ni mbwa haruki nilisikia!??Unatoka mjohoroni,then kwa Mbwaruki,unakuja kitu cha Mambo bado ,unajitia Sha-tourz,Hivi stop and shop bado wanachoma nyama aisee? Unyonya ukunyonze ndio balaaa,Ila mimi nadhani Meeting Point pako poa zaidi bwana,,,hahahahahaha,Mentor umenirudisha home kabisa yani
umenikumbusha enzi za fuko na ngawa na vilochindi na makoru na nduu na sowe na mafido na pichini na nuka na kiumbo na visoia na masale na mawiri n.k n.k
Mr Price city kiko mitaa gani? nadhani kitakuwa level sawa na Salsanero au glaciers sijui nimepatia kuandika,Natimba dis december mkuu pande hizoHapo ni mbwa haruki nilisikia!??
Mh..icho kituo cha mambo bado ndo kikwapi?
Meeting point kunakuwaga na walimu wa mjengo sec..sipendi kujongea huko xana!
ila siku hizi kuna Mr. Price City eti...karibu Moshi!!!
aisee...we m2 wa wapi raia??