Nasikia kuna dhahabu ya kumwaga huko.
Risiki ni nini huko Samunge?
Hakika imejaa tele. nimekuja zangu kwa babu kutafuta risiki. karibu Bucho
Nami nitakuwa huko soon.
Bila shaka baada ya miezi miwili hayo maeneo watapewa wachina au waarabu!Nasikia kuna dhahabu ya kumwaga huko.
Hamna Mtanzania mwenye IQ kubwa kama Babu. Anaebisha abishe lakini ndio ukweli.
babu yuko vzr sana kwa utabiri. ubarikiwe kwa kuwatabiria neema wanaSamunge.