Babu wa loliondo kuhamia mjini

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Kuna tetesei kuwa babu wa Loliondo amesikia vilio vya wagonjwa kulingana na umbali na taratibu za ugawaji dawa. Baada ya hayo babu ameamua kuhamia katika mji wowote nchini kwetu na ndio ambampo atakuwa anatoa dawa. Hii itasaidia watu wengi kupata fursa ya kupata dawa. Kulingana na urahisi huo babu ameongeza sharti moja ambalo ni.

1. KABLA YA KUNYWA DAWA ITABIDI UUNGAME DHAMBI ZAKO
2. NA BAADA YA HAPO UTAKULA KIAPO KWAMBA UKINYWA DAWA HAUTA KAA UZINI NJE YA NDOA YAKO.

NAHISI WANYWAJI DAWA WATAONGEZEKA SANA
 
Tunaomba ahamie dah na akae posta ama kariakoo kwa hotel hii itarahisisha kuondoa foleni wakati wa asubuhi maana trafic watajipanga kukabiliana na wingi wa magari wa kwenda kuchukua dawa
 
Kuna tetesei kuwa babu wa Loliondo amesikia vilio vya wagonjwa kulingana na umbali na taratibu za ugawaji dawa. Baada ya hayo babu ameamua kuhamia katika mji wowote nchini kwetu na ndio ambampo atakuwa anatoa dawa. Hii itasaidia watu wengi kupata fursa ya kupata dawa. Kulingana na urahisi huo babu ameongeza sharti moja ambalo ni.

1. KABLA YA KUNYWA DAWA ITABIDI UUNGAME DHAMBI ZAKO
2. NA BAADA YA HAPO UTAKULA KIAPO KWAMBA UKINYWA DAWA HAUTA KAA UZINI NJE YA NDOA YAKO.

NAHISI WANYWAJI DAWA WATAONGEZEKA SANA

Kama kweli basi hapo kwenye red ilitakiwa kuwa wazinifu na zinaa zitapungua sana......................
 
1. KABLA YA KUNYWA DAWA ITABIDI UUNGAME DHAMBI ZAKO
2. NA BAADA YA HAPO UTAKULA KIAPO KWAMBA UKINYWA DAWA HAUTA KAA UZINI NJE YA NDOA YAKO.

Hapa babu namkubali........waungwana ma-infidelitors na mainfidelitees watamudu masharti haya?....hahahaaa...ila kwa kanuni ya mtaka cha uvunguni itabidi tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom