Babu wa loliondo atishiwa ""maisha""

Babu wa loliondo atishiwa ""maisha""

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
"Hee eeee macho yanakutoka likizo ushachukua unafikiria itakuwaje usjali soma
"""" """"'cha muhimu kukueleza uwahi mapema usijefika babu ameamua kurudi mbeya
kazi kwako sio dalali wa loliondo bali nimetumwa na bwana yesu kushwawishi watu kwenda kupokea uponyaji wao
 
Hebu habarisha vema usemayo Mkuu! Kwani wengine bado tupo kwenye mchakato wa kwenda huko. Kilichomsibu Babu ni nini????
 
Sa apo umeandika nini?? Au nivae miwani ya chuma??
 
katishiwa maisha na nani?mbona hujatuweka wazi mkuu.:angry:
 
Navuta hisia za watu wamuwahi kabla ajagairi kutoa miujiza yake
 
"Hee eeee macho yanakutoka likizo ushachukua unafikiria itakuwaje usjali soma
"""" """"'cha muhimu kukueleza uwahi mapema usijefika babu ameamua kurudi mbeya
kazi kwako sio dalali wa loliondo bali nimetumwa na bwana yesu kushwawishi watu kwenda kupokea uponyaji wao

Jina hilo jina hilo Taratibu jamani!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom