Babu wa loliondo afiwa na mwanae!!polen wafiwa;hivi bibi yuko wapi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Umati wa watu umesema utaombolez kifo cha mtoto wa babu kwa matanga mpaka atakaporudi ijumaa kutoka babati alikofiwa na mwane miaka 43
wakiongea kwa uchungu wamesema wanasikitika sana kuona msiba ukifikwa kwa mtu mkubwa kama huyu kutoka kwa mungu..hata hivyo wamechangishana kusubiri kumkabidhi babu hela zake za rambi rambi...

Sijui atapokea???

Kwa wanaomjua jamani babu lazima awee na bibi sijui bibi yuko wapi jamani nimejaribu kuangalia waangalizi wake naona vidume tu..babu embu tujulishe jamani tumekuja hapo lakini tunamiss bibi yetu!!
 
Mkewe alishafariki pamoja na mtoto mwingine, na wajuzi wnasema hilo lilitokea kipindi kifupi kabla hajaamua kusikiliza wito wa kutoa dawa hii
 
Babu alishafiwa na mkewe na mtoto mwingine tena; kazi ya Mungu...Mungu amtie moyo na kumfariji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom