Babu Tale anazunguka na Msanii (Diamond) wakati Jimboni wananchi wanakunywa maji kwenye madimbwi

Eti alipita bila kupingwa
Huyu ndiye mbunge aliepita bila kupingwa!👇🐒🐒🐒
109_20210616_105039.jpg
 
Wabunge kama wakina aboud nadra sana kuwapata...kama mlimfuatilia bungeni jamaa hana utani na kazi yake ingawa ana kazi zake pembeni na moja ya watu tajiri hapa tanzania lakini anapiga kazi bila kujali, na wananchi wanampenda sana, na kura wanampa...
 
Inakuwaje Mbunge Anazunguka Na Msanii Wakati Jimboni Wananchi Wanakunywa Maji Kwenye Madimbwi,Ifike Mahala Terms Za Kiongozi Anaewakilisha Wananchi Zibadilike.

Rasimu ya Warioba ilitupa wananchi mamlaka ya kuwajibisha wabunge wakaleta uhuni

View attachment 1841366
Out of topic

Hivi babutale ana nini, facial expression yake mmh...huwa namuona kama ana wenge fulani si la nchi hii...ni kutosoma au?
 
Kwenye Hiyo Picture Chawa Wa Jiwe Ni Yupi
Ccm Imetuletea Shida Wananchi
Anazurura Tu Huko!!😣😣😏😶😶😑
 
Who is Diamond by the way?

Diamond plutnumz is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.[2]
 
Yani mpaka leo unajua wasafi TV na Radio ni mali ya Diamond? Endelea na ujinga wako
 
Yani mpaka leo unajua wasafi TV na Radio ni mali ya Diamond? Endelea na ujinga wako

Nenda kabishane na wikipedia ama brela wanaposajili makampuni... kwani asilimia 45 za wasafi media hazimiliki yeye, zuckerberg anatambulika kama mmiliki wa facebook ila ana share asilimia ndogo facebook kuliko hata za diamond na wasafi media
 
Endelea na ujinga wako ndio maana wazungu hawapiti kwenye Wikipedia, wanawajua kuna watu wajinga kama nyinyi anaondanganywa na views wa Youtube.

Hivi ndio maana Diamond aliwaambia wazungu "Google me"
 
Back
Top Bottom