nadhani ulimsikiliza vizuri yule mzee kwenye mdahalo!! Kama bwana yenu Kikwete ni mtu wa 'good morning sir'... tutategemea nini kwa nyinyi watwana wake!! bwana wenu anaona kuwa na foleni ndefu na ku own blackberry ni maendeleo ..tutategemea mtazamo gani kwa nyinyi watwana wake....! funguka dada.... usipofunguka tutakufungua tu kwa lazima! mtwana mkubwa!
Panua uwezo wako wa kufikiria,siyo lazima wapinzani ndiyo waiue ccm,ccm watajimaliza wenyewe na dalili zinaonekana ukijumlisha na mbano wa wapinzania zimebaki siku tu!
Again, kwa ubwabwa tu!Nilimsikia pia aliposema msimfanye Nyerere kuwa Mungu au hukumsikia? kama ulimsikia mbona na hiyo huisemi? Mtwana babako.
Mfu humwandama mfu.CCM si chama tu? kwani kabla ya CCM vingapi vilikufa? a huijui historia ya Tanzania? nyie mmelisikia hilo tu la CCM kwa huyo Mzee? Mbona alilosema kuhusu Nyerere simuoni hata mmoja wenu kulinukuu?
Alaaaa, sikujua huu mtandao katuletea JK. Duh! Ukipenda chongo.........
hakuna aliyesema ccm imekufa...ila ipo kwenye process ya kufa na itakufa tu.....ni suala la muda tu!
CCM imeshakufa, au tuseme ilikufa hata kabla ya kufa Nyerere.
Lakini CCM bado ni mzimu uliohai ambao unataabisha nafsi za Watanzania wengi.
Mzimu huu upo kwa sababu Watanzania hatuna umoja, tuna njaa, (wengi wetu) ni wanafiki na ndumilakuwili, ni waoga.
CCM ni kama "Babu mwenye gunia anayetisha watoto (kwa hapa Watanzania).
CCM ni kama Firauni ambaye, pamoja na kufa kwake kwa karne, bado vizazi vyake vipo na vinachipua.
Suala sio kufa kwa CCM bali kutoweka kwa CCM. "Let's not be only optimists but realists".
Kwa maana hiyo sina lengo la kuwakatisha tamaa Watanzania lakini nasikitika kusema kuwa CCM haitotoweka mpaka pale tu nafsi na dhamira za Watanzania zitakapozindika toka usingizi mzito.
Mwalimu alisema, "Vita si lelemama". Watanzania tumeifanya vita ya ukombozi wa Tanzania kuwa ni lelemama.
Mara moja niliwahi kusema kuhusiana na CCM, kuwa "Mtu hawezi kukupandia mabegani ikiwa hukuinama". Watanzania tumeinama!
(Mawazo binafsi).
Hizi thread nyingine nazo,mm,kazi.Sasa hii ni thread au?!"Sitakufa kabla ya CCM kufa"Alisema babu mmoja kwenye mdahalo wa katiba mpya uliokuwa unarushwa live na ITV.
Huyo kajichuria mwenyewe.
Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.
Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.
Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
Basi tumshukuru Kikwete kwa kutuleta mtandao. Hivi mtandao ulianza Tanzania mwaka gani vile? Just for the recordNyerere ndio kakuletea, ulikuwa hata TV huna wakati wa Nyerere, unataka kusema nini, muwadanganye haohao wakuja wenzenu!
Huyo kajichuria mwenyewe.
Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.
Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.
Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
Vyama tawala huporomoka au hufa ghafla kwa matukio mbali mbali kama mapinduzi n.k-: Iraq Baathi party,Chama Tawala cha Mubaraka wa Misri,Chama tawala cha Tunisia,IZIBU ya Zanzibar,Chama cha Kikoministi cha Urusi.CCM is not exceptionalWishful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!
Basi tumshukuru Kikwete kwa kutuleta mtandao. Hivi mtandao ulianza Tanzania mwaka gani vile? Just for the record
Vyama tawala huporomoka au hufa ghafla kwa matukio mbali mbali kama mapinduzi n.k-: Iraq Baathi party,Chama Tawala cha Mubaraka wa Misri,Chama tawala cha Tunisia,IZIBU ya Zanzibar,Chama cha Kikoministi cha Urusi.CCM is not exceptional
kama babu hatakufa soon ina maana na ccm ndio hivyo yeye ajasema anataka kuishi kiivyo ila ana hakika ccm
inakufa hakiwepo .
kwa ni wewe unadhani ccm inakufa lini? ikichelewa sana 2015
Sasa kama kila babu humu nchini atatoa kauli yake na tukai report humu itakuwaje? vyama vingi vitatabiriwa kufa basi kama ndo hivyo maana babu yangu alisema CDM ita undergo natural death"Sitakufa kabla ya CCM kufa"Alisema babu mmoja kwenye mdahalo wa katiba mpya uliokuwa unarushwa live na ITV.