BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

nadhani ulimsikiliza vizuri yule mzee kwenye mdahalo!! Kama bwana yenu Kikwete ni mtu wa 'good morning sir'... tutategemea nini kwa nyinyi watwana wake!! bwana wenu anaona kuwa na foleni ndefu na ku own blackberry ni maendeleo ..tutategemea mtazamo gani kwa nyinyi watwana wake....! funguka dada.... usipofunguka tutakufungua tu kwa lazima! mtwana mkubwa!

Nilimsikia pia aliposema msimfanye Nyerere kuwa Mungu au hukumsikia? kama ulimsikia mbona na hiyo huisemi? Mtwana babako.
 
Panua uwezo wako wa kufikiria,siyo lazima wapinzani ndiyo waiue ccm,ccm watajimaliza wenyewe na dalili zinaonekana ukijumlisha na mbano wa wapinzania zimebaki siku tu!

CCM si chama tu? kwani kabla ya CCM vingapi vilikufa? a huijui historia ya Tanzania? nyie mmelisikia hilo tu la CCM kwa huyo Mzee? Mbona alilosema kuhusu Nyerere simuoni hata mmoja wenu kulinukuu?
 
CCM si chama tu? kwani kabla ya CCM vingapi vilikufa? a huijui historia ya Tanzania? nyie mmelisikia hilo tu la CCM kwa huyo Mzee? Mbona alilosema kuhusu Nyerere simuoni hata mmoja wenu kulinukuu?
Mfu humwandama mfu.
Aliye mzima humwandama aliye mziama.
Who r u? Mfu au mzima?
 
Alaaaa, sikujua huu mtandao katuletea JK. Duh! Ukipenda chongo.........

Nyerere ndio kakuletea, ulikuwa hata TV huna wakati wa Nyerere, unataka kusema nini, muwadanganye haohao wakuja wenzenu!
 
hakuna aliyesema ccm imekufa...ila ipo kwenye process ya kufa na itakufa tu.....ni suala la muda tu!

Ona uzushi wako, hii hapa ni post #27 nakukuzia tena kwa maandishi mekundu kama huoni vizuri:

CCM imeshakufa, au tuseme ilikufa hata kabla ya kufa Nyerere.
Lakini CCM bado ni mzimu uliohai ambao unataabisha nafsi za Watanzania wengi.
Mzimu huu upo kwa sababu Watanzania hatuna umoja, tuna njaa, (wengi wetu) ni wanafiki na ndumilakuwili, ni waoga.
CCM ni kama "Babu mwenye gunia anayetisha watoto (kwa hapa Watanzania).

CCM ni kama Firauni ambaye, pamoja na kufa kwake kwa karne, bado vizazi vyake vipo na vinachipua.
Suala sio kufa kwa CCM bali kutoweka kwa CCM. "Let's not be only optimists but realists".

Kwa maana hiyo sina lengo la kuwakatisha tamaa Watanzania lakini nasikitika kusema kuwa CCM haitotoweka mpaka pale tu nafsi na dhamira za Watanzania zitakapozindika toka usingizi mzito.

Mwalimu alisema, "Vita si lelemama". Watanzania tumeifanya vita ya ukombozi wa Tanzania kuwa ni lelemama.

Mara moja niliwahi kusema kuhusiana na CCM, kuwa "Mtu hawezi kukupandia mabegani ikiwa hukuinama". Watanzania tumeinama!
(Mawazo binafsi).
 
alitaka kumuanzishia nyerere mkiti akampotezea. Ila kwa ishu ya ccm yuko rait
 
Huyo kajichuria mwenyewe.

Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.

Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.

Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.

Naona umesahau alivyoongea tafuta hiyo hotuba usikilize tena maana ipo.
 
huyo mzee yeye sio mungu na hakuna anayejua siku wala saa ya kufa kwake sasa mimi sikumuelewa kabisaa.
 
Nyerere ndio kakuletea, ulikuwa hata TV huna wakati wa Nyerere, unataka kusema nini, muwadanganye haohao wakuja wenzenu!
Basi tumshukuru Kikwete kwa kutuleta mtandao. Hivi mtandao ulianza Tanzania mwaka gani vile? Just for the record
 
Huyo kajichuria mwenyewe.

Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.

Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.

Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.

kama babu hatakufa soon ina maana na ccm ndio hivyo yeye ajasema anataka kuishi kiivyo ila ana hakika ccm
inakufa hakiwepo .
kwa ni wewe unadhani ccm inakufa lini? ikichelewa sana 2015
 
Wishful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!
Vyama tawala huporomoka au hufa ghafla kwa matukio mbali mbali kama mapinduzi n.k-: Iraq Baathi party,Chama Tawala cha Mubaraka wa Misri,Chama tawala cha Tunisia,IZIBU ya Zanzibar,Chama cha Kikoministi cha Urusi.CCM is not exceptional
 
Basi tumshukuru Kikwete kwa kutuleta mtandao. Hivi mtandao ulianza Tanzania mwaka gani vile? Just for the record

Hata shule duniani hazikuanzia Tanzania lakini leo wakati wa Kikwete tunaona Sekondari kila kata, na kata zingine zaidi ya moja, Jee, mfano huo haukotoshi? Simu za posta na simu mpaka upite kwa opereta, ukimtafuta mtu yuko Sikonge unawezaa kukaa mwezi hujampata. Halafu leo unataka kusema nini? Unanshangaza!
 
Vyama tawala huporomoka au hufa ghafla kwa matukio mbali mbali kama mapinduzi n.k-: Iraq Baathi party,Chama Tawala cha Mubaraka wa Misri,Chama tawala cha Tunisia,IZIBU ya Zanzibar,Chama cha Kikoministi cha Urusi.CCM is not exceptional

I never disagreed with what you are saying, read my posts, my disagreement is when someone comes and says he is not going to die until... Who is he to know when he is going to die? even those who do not believe in any religion never make such statements.
 
kama babu hatakufa soon ina maana na ccm ndio hivyo yeye ajasema anataka kuishi kiivyo ila ana hakika ccm
inakufa hakiwepo .
kwa ni wewe unadhani ccm inakufa lini? ikichelewa sana 2015

Kufa CCM is not an issue na ukirudi kwenye posts zangu huko nyuma utakuta nimesema kuwa siamini kama vyama vya kibanaadam vitakaa daima hapa duniani, na pia nimesema vyama vingi kabla ya CCM vilikuwepo na vimekufa, point yangu ni huyu Mzee kusema kwa uhakika kabisa kuwa yeye hafi kabla ya CCM kufa. Yeye anaushirika na Mungu? hata ajue lini atakufa?
 
"Sitakufa kabla ya CCM kufa"Alisema babu mmoja kwenye mdahalo wa katiba mpya uliokuwa unarushwa live na ITV.
Sasa kama kila babu humu nchini atatoa kauli yake na tukai report humu itakuwaje? vyama vingi vitatabiriwa kufa basi kama ndo hivyo maana babu yangu alisema CDM ita undergo natural death
 
Back
Top Bottom