BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

Wishaful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzaani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!

Panua uwezo wako wa kufikiria,siyo lazima wapinzani ndiyo waiue ccm,ccm watajimaliza wenyewe na dalili zinaonekana ukijumlisha na mbano wa wapinzania zimebaki siku tu!
 
Nilimsikiliza vizuri sana,problem alishindwa kusettle vizuri b/se of time. We need elders like this.....Tz ya leo tungekuwa na wazee 100 na namna kama huyu,we could go further! Big up babu!
 
Mazishi ya Ccm yanaandaliwa na ccm wenyewe hapo ndipo ninapo mshukuru mungu ,ndugu Waislam ombeni wakti wa mfungo maombi ya kuiua Ccm.vijana ndo tunachimba kaburi lake
 
babu yuko juu hilo halina ubishi maana ameshaagana na Mungu na anajua hata dalili za onekana
 

Kweli mafisadi mnaishi kiulaini sana, kwa kutupia haka kapost kakilaza kilaza tayari kesho unachukua mshahara kwa Nape aliyekuajiri kushinda JF ukitetea magamba. Mwisho wenu unakaribia.... Huyo babu amuombe Mungu ampatie miaka mi4 tu zaidi aone mwisho wa CCM, Inshaalah.
 
"Sitakufa kabla ya CCM kufa"Alisema babu mmoja kwenye mdahalo wa katiba mpya uliokuwa unarushwa live na ITV.

Please get the Babu clearly.

The whole story and how the statemnt come about is....

Babu kwa Busara alitaka kuonyesha ili kitu kipya kitokeee lazima kingine kife kwanza.

Akatoa mfano wa MICHEZO: Ilikufa Sanderland ikatokea simba, ilikufa cosmopolitan ikazaliwa Yanga.

Akatoa Mfano wa KIBAOLOJIA: Akaanza na kinyonga, Ili Kinyonga wa Kike mayai yake ayatage na kupata Vinyonga watoto lazima MAMA KINYONGA APASUKE NA KUFA ..na hapo mayai yake yanatoka...Mama lazima kupoteza uhai wake ili kizazi chake kiendelee. Akatoa mfano wa NGE lazima nge wa kiume akisha kutana na kufanya fertilasation na Nge wa Kike... Then baada ya TENDO hilo ..Ngewa kike lazima amgeukie nge wa kiume na KUMLA HADI AMMALIZE ...so nge wa kiume amekufa kwa ajili ya kuendeleza kizazi cheke...

KAPIGILIA MSUMARI: Ili CCM izaliwe lazima TANU IFE..

Then he came to his popular sentence; LAZIMA CCM IFE ili kizaliwe CHAMA KINGINE KWA AJILI YA WATANZANIA...NA akatoa uhakika kuwa CCM ITAKUFA KABLA YEYE HAJAFA!!

Bottom line: LAZIMA KU SACRIFICE FOR THE NEW AND MEANIGFUL DEVELOPMENT!!!!!

NA KWAKE CCM MUST GOOOO!! Like TANU, Like Cosmo, Like Sanderland, Like Nge wa kiume, Like Kinyongo wa Kike!!!!

Just doing the summary of Babu ...!!! Dont hold me responsible in any way!!!!
 
Huyo Nyerere katupa nini? zaidi ya dhiki na njaa isiyo mfano, JK kakupa nini? leo unakaa kwenye mtandao raha mustarehe halafu unauliza kakupa nini?
Alaaaa, sikujua huu mtandao katuletea JK. Duh! Ukipenda chongo.........
 
<br />
<br />
 
ccm haijafa bwana hapo ndio tunajidanganya alafu tunajisahau. Rais wao, jeshi lao, mwanasheria mkuu wao, tanesco yao. Sasa imekufa wapi? Tatizo kuna baadhi ya wabunge wa upinzani sisadiki wana msimamo wa kweli? Wengine baadae wananunuliwa mifano si ipoo. Big up anna kilango, ole sendeka,watoto mapacha wanafanana sana kwa muunekano na ndugu yao ccm but mitazamo yao ni tofauti...
 
hakuna aliyesema ccm imekufa...ila ipo kwenye process ya kufa na itakufa tu.....ni suala la muda tu!
 

Kafa Nyerere itakuwa CCM, mbona hamsemi na Mzee aliposema kuwa mnakosea kumfanya Nyerere kama Mungu wakati kisha kufa?
 

Naona umesahau kama kuna Kilimo Kwanza, na hiyo ni sera ya nani? Na umesahau ajira zinazozalishwa zaidi ya awamu yoyote ile, hiyo ni sera ya nani?
 

Hao maninja ni wasomi kuliko unavyofikiria, you are too shallow for them.
 

Na huyo Bashir Ally ni wa msalaba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…