BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

Nimeipenda hii
 
Wewe mama wewe! maneno haya ya Baba wa taifa umeyatoa wapi? hakuna dhambi kubwa kama kumwekea marehemu maneno mdomoni, mimi nakumbuka alisema atamuona Rais ajae yaani wa awamu ya nne lakini hakutaja miaka mama! chonde sana muombe toba Mungu unaemwabudu akusamehe
 
Mtizamo wa babu ndio mtizamo wa watz wengi kwa sasa mathalani wazee kwa vijana ndio usiseme kabisa, eeee Mungu jalia hili lichama life mapema
 
Lete hotuba aliyoitoa siku ya sherehe zake za aliyotimiza miaka 75 halafu lete za miaka 76, ukishindwa kuleta ushahidi ina maana wewe ndio muongo. Ukimshutumu mtu uongo unatakiwa ndio ulete ushahidi.
 
Lete hotuba aliyoitoa siku ya sherehe zake za aliyotimiza miaka 75 halafu lete za miaka 76, ukishindwa kuleta ushahidi ina maana wewe ndio muongo. Ukimshutumu mtu uongo unatakiwa ndio ulete ushahidi.
acha kuleta mambo ya 'lete hotuba'! watu kama nyinyi mmebaki wachache sana....JK kawapa nini??
 
CCM imeshakufa, au tuseme ilikufa hata kabla ya kufa Nyerere.
Lakini CCM bado ni mzimu uliohai ambao unataabisha nafsi za Watanzania wengi.
Mzimu huu upo kwa sababu Watanzania hatuna umoja, tuna njaa, (wengi wetu) ni wanafiki na ndumilakuwili, ni waoga.
CCM ni kama "Babu mwenye gunia anayetisha watoto (kwa hapa Watanzania).

CCM ni kama Firauni ambaye, pamoja na kufa kwake kwa karne, bado vizazi vyake vipo na vinachipua.
Suala sio kufa kwa CCM bali kutoweka kwa CCM. "Let's not be only optimists but realists".

Kwa maana hiyo sina lengo la kuwakatisha tamaa Watanzania lakini nasikitika kusema kuwa CCM haitotoweka mpaka pale tu nafsi na dhamira za Watanzania zitakapozindika toka usingizi mzito.

Mwalimu alisema, "Vita si lelemama". Watanzania tumeifanya vita ya ukombozi wa Tanzania kuwa ni lelemama.

Mara moja niliwahi kusema kuhusiana na CCM, kuwa "Mtu hawezi kukupandia mabegani ikiwa hukuinama". Watanzania tumeinama!
(Mawazo binafsi).
 
Dada yng FAIZAFOX kwa heshma na taadhima nakushauri uwashauri wakubwa wako waondoe jembe&nyundo kwny bendera yn waweke nembo ya magamba.
 
acha kuleta mambo ya 'lete hotuba'! nyambaf we..! watu kama nyinyi mmebaki wachache sana....JK kawapa nini??

Huyo Nyerere katupa nini? zaidi ya dhiki na njaa isiyo mfano, JK kakupa nini? leo unakaa kwenye mtandao raha mustarehe halafu unauliza kakupa nini?
 
Dada yng FAIZAFOX kwa heshma na taadhima nakushauri uwashauri wakubwa wako waondoe jembe&nyundo kwny bendera yn waweke nembo ya magamba.

Na magwanda waambie waondoe ile damu kwenye bendera.
 
Dada yng FAIZAFOX kwa heshma na taadhima nakushauri uwashauri wakubwa wako waondoe jembe&nyundo kwny bendera yn waweke nembo ya magamba.
<br />
<br />
waweke nembo ya nyoka anajivua gamba, au kama vp waweke nembo ya magamba ya kobe!
 
hatakufa?.....nadhani ingekuwa vema kama angesema "naomba Mungu acnipumzshe kabla ccm haijafa"

Hapo tungemuelewa. Walisema Titanic ni "unsinkable" kwa kufru zao, Mwenyeezi Mungu akaizamisha kwa pande la barafu tu, safari yake ya mwanzo kabisa (maiden voyage).

Huyu Mzee anaushirika na Mungu hata aseme kuwa yeye "hafi" mpaka CCM ife? asituletee kufuru zake hapa. Kafa "mungu" itakuwa yeye? au kuna mkiristo anaebisha hapa kuwa "mungu" hajafa?
 
Na magwanda waambie waondoe ile damu kwenye bendera.
&lt;br /&gt; &lt;br / rangi nyekundu kwenye bendera yt inamaanisha mtanzania mwny damu nyekundu,akili timamu na mzalendo kwa tanzania ni mfuasi wa ch chadema. Je magamba yanawamaanishia nini?
 
Huyo Nyerere katupa nini? zaidi ya dhiki na njaa isiyo mfano, JK kakupa nini? leo unakaa kwenye mtandao raha mustarehe halafu unauliza kakupa nini?
nadhani ulimsikiliza vizuri yule mzee kwenye mdahalo!! Kama bwana yenu Kikwete ni mtu wa 'good morning sir'... tutategemea nini kwa nyinyi watwana wake!! bwana wenu anaona kuwa na foleni ndefu na ku own blackberry ni maendeleo ..tutategemea mtazamo gani kwa nyinyi watwana wake....! funguka dada.... usipofunguka tutakufungua tu kwa lazima! mtwana mkubwa!
 
wala usitutoe kwenye hoja ukatupeleka kwenye mambo yenu ya udini! unamkumbuka ustaadhi ayeumbuka na chuo chake cha ccm cha kiislam morogoro just a few hours ago? baki kwenye mada ...uchafu mwingine peleka kwenye jukwaa la dini!
 
<br /> <br / EE! ASTAQAFIRULAH SIKUJUA KUWA WEWE NI MGONJWA WA AKILI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…