Tatizo la Appeals za Tanzania ni kuwa hazipokei evidence mpya; mahakama inayoshukulikia rufaa hupitia faili la hukumu ya awali bila kupokea ushahidi mpya. Kwa hiyo wakili wako akiboronga katika kukusanya ushahidi wa kukutetea na kuwahoji kwa kina mashahidi wa mashtaka wakati wa kesi ya awali, kama ilivyotokea kwa huyu mzee, basi unakuwa na nafasi finyu sana ya kuokolewa na rufaa. Wakili wake hakufanya kazi nzuri ya kutosha katika kumtetea wakati wa kesi ya awali.
Jaji aliposema kuwa halikuwa jukumu la upande mashtaka kumpima Nguza kuona kuwa hakuwa na nguvu za kiume, alituma ujumbe wa wazi kuwa kama proof hiyo ingekuwapo, ingeweza kuweka reasonable doubt katika ushahidi wa upande wa mashtaka. Lakini upande wa utetezi haukusukuma hoja hiyo katika utetezi wake wakati wa kesi ya awali.
Pumzika kwa amani huko Keko mzee wa watu Nguza, ni afadhali watoto wako wawili wameachiwa huru; wataendeleza legacy yako.
Shkamoo!Kwanini? Je kila mtu alikuwa anajitetea kivyake?
Je hati ya mashitaka ilikuwaje?
Sheikh yahya alisema wote wangetoka...
Utabiri wa mtabiri wetu umegonga mwamba.
Hatimaye wametokaSheikh yahya alisema wote wangetoka...
Utabiri wa mtabiri wetu umegonga mwamba.
...Nina ndugu yangu. Ambaye ni mmoja wa watoto walio sema wamebakwa. Kiukweli, nasikitika sana kusema....
Mbona nimeumia sana ,..hapa nilipo naona disikashion imeanza kuwa babu seya alimyanganya Mheshimiwa Tonge mdomoni so hawezi kutoka mbona nakuwa confused kabisa
umesoma wakaelew niniShida ipi? Kusamehe? Amevunja katiba au sheria ipi?
tayari umesoma na kutuo comment, kuna watu ni shidaFriends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea
balozi dr slaa nazani anajibu, mimi nataka usome kilicho andikwa kwenye hukumuMkuu kwani kakanyaga katiba
waliopinga miaka miwili iliyopita wengi ni wale wale wanaosifia Leo...Friends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea