Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kwa sasa kinachoendelea ni kuwa marafiki na jamaa wa Arusha ndo wanatoa heshima za mwisho pale nyumbani njiro then saa 8 mchana msafara utaanza kuelekea Moshi.
Kwa taarifa za karibu na familia msiba unakadiriwa kuwa na watu milioni 2. Ndio maana familia imeona kuwa ni vyema wakapunguza msongamano wa hiyo kesho kwa kuanza kutoa heshima zao leo
Mh! Mkuu watu mil.2
Kwa wale mliokuwa mnamjua Ernest Babu Sambeke Mallya ni kuwa atazikwa kesho nyumbani eneo la Karanga Moshi. Safari yake kuelekea moshi inaanza Arusha muda si mrefu. Baada ya mwili kuwasili pale nyumbani kwake ndugu jamaa na marafiki watapewa nafasi ya kuuaga mwili (wengine mnasema heshima za mwisho) na mwili huonutaendelea kuwepo hapo mpaka kesho saa 7 mchana. Itafuata ibada ya mazishi kabla ya mazishi kufanyika saa 10 jioni.
Tutaendealea kuwapa updates kadiri itakavyoruhusu.
Mkuu mwili wa babu uko nyumbani kwake na wala sio kwa baba yake. Sipo kwenye net ya uhakika ningeweza ku upload video ya msafara wake. Nachokisikia I might be on move kesho mtakao kuwepo mnaweza ku update hapa.Nadhani mwili uko nyumbani kwa baba yake
Mkuu mwili wa babu uko nyumbani kwake na wala sio kwa baba yake. Sipo kwenye net ya uhakika ningeweza ku upload video ya msafara wake. Nachokisikia I might be on move kesho mtakao kuwepo mnaweza ku update hapa.
Kwani huyu mmarehemu ni nani hapa Tanzania hadi tupate live update, ujue mie hata sielewi kitu. Naomba mwaya unijuze.
Nyani Ngabu mbona sikuwahi kumsikia hapo kabla?au definition ya bilionea ndio imekuwa tofauti.....hayeni asante kwa taarifa
Mh! Mkuu watu mil.2