Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF
kumbe ni wewe shikamoo babu AsprinMbona hukunisalimia mjukuu wangu?
kumbe ni wewe shikamoo babu Asprin
Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF
Marahaba Mjukuu wangu Chetuntu mbona hukuja kunisalimu, safari yako iliishia wapi,siku nyingine ukiniona nisalimu usiniogope.Sawa mjukuu wangu eeh
Mungu akulaze mahala pema peponi amen!Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF
Rip chetu.
Tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.
Mbona siwaelewi? Is chetuntu kicked the bucket?