Babu Mstaafu Akiwa Likizo na Mjukuu -Kwa Hisani ya Riz 1

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
10176234_964522543623452_215175666203252903_n.jpg

1934177_964523693623337_6372247835377447400_n.jpg

Ridhiwani Kikwete
14 hrs ·
Babu na Mjukuu wake.
 
Yaani yeye badala ya kwenda shamba anacheza na mjukuu asubuhi? Anatofauti gani na wale wanaocheza pool badala ya kwenda shamba? Ngoja JPM aligundue hili, atamtumbua! Hehehehe!
 
Tutakumiss mno mheshimiwa kwa mambo ya ajabu anayoyafanya mrithi wako kwa ubabe wa kuukandamiza upinzani.
 
Back
Top Bottom