Babu LOLIONDO akabidhiwa simu na AIRTEL

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054




Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu
iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mikononi ya Airtel hivi karibuni mkoani humo,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha ,Pascal Bikomagu kulia ni DC wa Wilaya ya Ngorongoro Elias akishuhudia tukio hilo. (Picha na Airtel

SOURCE: JESUS IS LORD
 
Anaweza kuipokea na kuitoa kwa wengine hasa wasaidizi wake. Ukiangalia kazi yake ya kutwa nzima siamini kama atapata hata muda wa kupiga ua kupokea simu.
 
Na huyo mkuu wa wilaya siku hizi ofisi yake imehamia huko Samunge? maana amekuwa ndiyo kama msaidizi mkuu wa huyo Babu.
 
Kwa kweli Samunge imekuwa ikulu ndogo, haiwezekani kutokuwa na simu.
 
Wanachofanya airtel watu wa masoko (Marketing) wanakiita "promotion". Aitel wana akili sana wanajua sasa hivi kila mtanzania macho na masikio ni Loliondo kwa babu. Wakatumia hiyo fursa kujitangaza kwa kumpelekea babu simu. Hiyo simu imefanya watu wengi waijue Airtel. Airtel mna akili!!!
 
Back
Top Bottom