Babu LOLIONDO akabidhiwa simu na AIRTEL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu LOLIONDO akabidhiwa simu na AIRTEL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Apr 13, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu
  iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mikononi ya Airtel hivi karibuni mkoani humo,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha ,Pascal Bikomagu kulia ni DC wa Wilaya ya Ngorongoro Elias akishuhudia tukio hilo. (Picha na Airtel

  SOURCE: JESUS IS LORD
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Babu si alisema hapokei zawadi? hapa vp tena?
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Anaweza kuipokea na kuitoa kwa wengine hasa wasaidizi wake. Ukiangalia kazi yake ya kutwa nzima siamini kama atapata hata muda wa kupiga ua kupokea simu.
   
 4. L

  Lugwal Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah babu kama ndio hivi vizawadi watamchakachua...
   
 5. C

  Clego Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na huyo mkuu wa wilaya siku hizi ofisi yake imehamia huko Samunge? maana amekuwa ndiyo kama msaidizi mkuu wa huyo Babu.
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mtasikia Serikali inamjengea nyumba. Haya we
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli Samunge imekuwa ikulu ndogo, haiwezekani kutokuwa na simu.
   
 8. N

  Nguto JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Wanachofanya airtel watu wa masoko (Marketing) wanakiita "promotion". Aitel wana akili sana wanajua sasa hivi kila mtanzania macho na masikio ni Loliondo kwa babu. Wakatumia hiyo fursa kujitangaza kwa kumpelekea babu simu. Hiyo simu imefanya watu wengi waijue Airtel. Airtel mna akili!!!
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Babu ana kitu cha Blackberry
   
 10. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ataichaji wapi?, wakati huko hakuna umeme?
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Tuko kwenye mchakato wa kumfungia solar
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Dah! Sukari wa Ukweli sijui umepotelea wapi lakini hili swali...umeua! :smile-big:
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna chaja za solar.
   
 14. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh hii ni tit for tat au majibu ya papo kwa papo! Mkuu naona kila kitu ni kwenye finger tips. Hongera.
   
 15. N

  Nguto JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Umeme utapelekwa mkuu. Hapo ni hotcake sasa hivi. We subiri tu!!
   
Loading...