Babu wa Loliondo aoteshwa tukio kubwa, awataka watu kuwa makini

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,893
14,347
Mchungaji Ambilikile Mwasapile (Babu wa Loliondo) amesema ameoteshwa na Mungu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili tangu Dunia kuumbwa na kuna baadhi ya Nchi zitahamishwa na kwenda kujiunga na Nchi nyingine.

Babu wa Loliondo amesema tetemeko hilo litatokea usiku na kudumu kwa saa nne na halitakuwa na madhara bali litatenda mambo makubwa "Mwanadamu ni mbishi mpaka aone, waendelee kusubiri kama mimi ninavyosubiri"
Babu Loliondo.jpg
 
Source: Ayo TV
20200306_114302.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom