Babu JK pole eh!

Babu JK pole eh!

Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.

Mkuu umenivunja mbavu kwahyo jamaa alinogewa si kawaida
 
2238951_orig.jpg

Kwani kunogewa kwako kunaamanisha mzaha au siyo
 
Tatizo sio kwenda kufanyiwa hiyo Kansa Makasi, tatizo ni namna watakavyo kufanyia....
hahahaa!! kazi ipo..
tezi+d.jpg

Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada iitwayo digital rectal examination (DRE): Daktari ataingiza kidole cha shahada katika puru (rectum) ili kuhisi tezi dume kupitia ukuta wa puru. Aidha atahisi pia sehemu zote zinazozunguka tezi dume kutambua iwapo tezi ni ngumu au kama ina uvimbe wowote.

Kipimo hiki ndicho rahisi kinachokubalika duniani kote na kisicho na gharama cha kugundua tatizo mapema, lakini kimekuwa kikipata upinzani mkubwa kutoka kwa wagonjwa kutokana na imani potofu na kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu kipimo hiki wakidhani ni cha udhalilishaji wa uanaume wao.
 
Swadata, sasa ili uweze kupimwa Cancer Makers, lazima uingiziwe kidole kwenye PURU hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa PURU utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO kuguswa PURU!
Duuuh! new terminology to me PURU!!!!!!!!
cc mshana jr, Elli,masopakyindi, Bujibuji, Tezi dume, Baba V. Kiranga, Matola, Sikonge
 
Swadata, sasa ile uweze kupimwa Cancer Makers, lazima hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO!
cc mshana jr, Elli, masopakyindi, Bujibuji, Tezi dume, Baba V. Kiranga, Matola, Sikonge
hahahahaha!!! MziziMkavu njoo uongee kitabibu. mshana jr upoooo!!?? :bolt:
 
Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.

amiri jeshi hawezi kupitia process hii, lazima jamaa walitafuta alternative
 
Swadata, sasa ili uweze kupimwa Cancer Makers, lazima uingiziwe kidole kwenye PURU hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa PURU utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO kuguswa PURU!
Duuuh! new terminology to me PURU!!!!!!!!
cc mshana jr, Elli,masopakyindi, Bujibuji, Tezi dume, Baba V. Kiranga, Matola, Sikonge

Prof si ni MTU wa kuipenda taarab? Mwache afanye check up ya tezi dume daily.BORA KINGA KULIKO TIBA. TEZI DUME OYEÈ
 
"Babu eti tezi dume ndio nini?"...mjukuu anaonekana akimuuliza babu yake ambaye bado hajapona vizuri kiasi inamlazimu hadi akunje nne kukaa vyema...
 
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.

ni mpaka acopy article mahali then apest hapa,zake ndumba tu
 
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.
amiri jeshi hawezi kupitia process hii, lazima jamaa walitafuta alternative
Kipimo cha damu kuchunguza aina ya protein inayozalishwa na seli za tezi dume kiitwacho Prostate Specific Antigen (PSA): PSA ni uzalishaji wake huongezeka wakati wa BPH, tezi dume inapopata uambukizi (prostitis) na saratani ya tezi dume.

DRE na PSA huonyesha kuwapo kwa tatizo kwenye tezi dume, lakini vipimo hivi havina uwezo wa kutofautisha iwapo tatizo hilo linamaanisha saratani au BPH.
 
Siwezi kuchangia Thread za utumbo kam huu samahani sana Mkuu idoyo Ningeomba Mkuu Moderator aifunge hii thread inamdhalilisha Mkulu.
haidhalilishi. hiyo ndo sayansi. labda alitumia njia nyingine:

1. Kipimo cha damu kuchunguza aina ya protein inayozalishwa na seli za tezi dume kiitwacho Prostate Specific Antigen (PSA): PSA ni uzalishaji wake huongezeka wakati wa BPH, tezi dume inapopata uambukizi (prostitis) na saratani ya tezi dume.

DRE na PSA huonyesha kuwapo kwa tatizo kwenye tezi dume, lakini vipimo hivi havina uwezo wa kutofautisha iwapo tatizo hilo linamaanisha saratani au BPH.

2. Kipimo kingine huitwa transrectal ultrasound ambacho husaidia kuonyesha ukubwa na sura ya tezi dume lilivyo. Ili kutambua kama saratani imesambaa sehemu nyingine za mwili vipimo vya CT scan, MRI pamoja na PET navyo vyaweza kufanyika pia.
 
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.

Anapatikana Tandika kuna mabango yake ya kutosha
 
Kwani ulilazimishwa uchangie uzi wa mtu humu? Utaendelea kukopi lugha za Mabwana zako wakati hata hujui utakula nini....Nyege za kisimi zinakusumbua wewe....

Ha ha ha mkuu nimecheka mpaka nimeamsha majirani duh hii Kali.....
 
Kwani ulilazimishwa uchangie uzi wa mtu humu? Utaendelea kukopi lugha za Mabwana zako wakati hata hujui utakula nini....Nyege za kisimi zinakusumbua wewe....

Matusi yako yanaonyesha uhalisia wa mazingira yako unayo ishi, sikulaumu kwani wewe ni wewe na mazingira ndio yame kufanya hivyo.
Unge jiuliza swali moja tu!
Je mama yako ange kuwa na tezi jike na waka mchovya dole gumba Unge andika huu utumbo? Heshimu binadamu mwenzako na wewe uheshimiwe, (tafakuri)
 
Mama yangu amekujaje hapa, acha useng.e jike wako kuingilia hoja usioijua mwanzo wake?
Kimbelembele chako cha kundandia hoja katikati ndicho kilichokufanya usione matusi aliyonitukana huyo Bwana wako. Nilichokisema mimi hakikuwa na tofauti na uzi #21 wa mkuu Jambazi ambao nao ulitokana na kuchangia hoja #5 ya mkuu Gwangambo.
Ungefuatilia uzi huu toka mwanzo ungebaini tatizo lilianza wapi, uache kushambulia upande mmoja tu.
 
Last edited by a moderator:

TABIA haina dawa! Nilichokisema ni tabia na ni vigumu sana kubadili. Binadamu tumeumbwa na soni
na wewe huna. Kumtukana mtu yoyote kwa ugonjwa au ulemavu ni moja ya tabia za watoto wa kikopo na wewe unazo (tafakuri)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom