Babu JK pole eh!

Babu JK pole eh!

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
Jakaya-Kikwete--december1-2014.jpg

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mjukuu wake,
Aziza Ridhiwani Kikwete, baada ya kuwasili Ikulu,
jijini Dar es Salaam juzi, akitokea nchini Marekani
alikokwenda kufanyiwa opesheni ya tezi dume.
PICHA: IKULU
 
Zile hela za escrow zilizobebwa na mabox zilikunjia kona gani vile .
 
Mwenye kufahamu gharama za kufanya Kansa Makasi atujuze jamani. Tumeshauriwa na Mzee wetu tujenge utamaduni wa check up...
Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.
 
Kuna mdau mmoja kaweka uzi hapa asubuhi kasema vifaa vyote anavyo kwa muktadha huo yeye kufanya Kansa Makasi pamoja na bed rest ni bei ndogo haifiki hata nusu ya tiketi ya kwenda kwa OB
 
Hahahaaaaaaaaaaa....atakua amenogewa sasa anaalika na wengine....
 
Mkuu tungepata figure kamili ingesaidia sana.
 
Mwenye kufahamu gharama za kufanya Kansa Makasi atujuze jamani. Tumeshauriwa na Mzee wetu tujenge utamaduni wa check up...
hahaha!! anasema vijana muwe aware kuanzia miaka 40 ni hatari.
 
Mwenye kufahamu gharama za kufanya Kansa Makasi atujuze jamani. Tumeshauriwa na Mzee wetu tujenge utamaduni wa check up...
Ghrama inategemeana unaifanyia wapi hii makasi, Muhimbili, Baltimore maryland, KCMC, India? n.k.
 
Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.
du!!prof alipitia njia hii pia...
 
Mnavyofanya mzaha na ugonjwa, unaonyesha umri wenu bado mdogo.

Twaweza kumwandama Kikwete kwa mengi sana ila siyo UGONGWA. Namshukuru kawa mkweli na kuwashauri watu wafanye check-up. Kwa nchi za wenzetu, hiki kitu siyo aibu kabisa na wanafanya sana. Kansa inauwa jamani.

300.winfrey.oprah.lc.111109.jpg

Oprah Winfrey Reveals Breast Cancer Scare.

Hahahaaaaaaaaaaa....atakua amenogewa sasa anaalika na wengine....
 
Mnavyofanya mzaha na ugonjwa, unaonyesha umri wenu bado mdogo.

Twaweza kumwandama Kikwete kwa mengi sana ila siyo UGONGWA. Namshukuru kawa mkweli na kuwashauri watu wafanye check-up. Kwa nchi za wenzetu, hiki kitu siyo aibu kabisa na wanafanya sana. Kansa inauwa jamani.

300.winfrey.oprah.lc.111109.jpg

Oprah Winfrey Reveals Breast Cancer Scare.
Kwani kunogewa kwako kunaamanisha mzaha au siyo
 
Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.

Mkuu umenivunja mbavu kwahyo jamaa alinogewa si kawaida
 
Back
Top Bottom