Babu Duni aonekana Zanzibar

Babu Duni aonekana Zanzibar

Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

Jina lako liko tofauti na akili yako!!??? .
Mzushi ukawa ipo kwenye mioyo ya watu kuanzia mlipochezea katiba bora ya waTz
 
Ulitaka aonekane kwenu akivinjari na bi Mkubwa wako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom